PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Kuna mtu yeyote yupo Arusha na amefanikiwa kulipakua Game hilo lililozuzngumziwa na mtoa Uzi. ?
Nahitaji kuonanan nae anipatie ..natanguliza shukrani .. mm nimeshindwa kabisa kulipakua.

My take.
Nalihitaji hilo hilo coz PC niliyonayo specification zake zitamudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fifa gumu sana kama umezoea pes. halafu master ligi yao nzuri but kukosekana uefa ndio kunainyima utamu. coz unakuta mtu unagombea vikombe vya ligi tu. na sio kuqualify uefa na europa
Huu ni udhaifu mkubwa mno.
 
Pes wameadvance saaana Mkuu. Mara ya mwisho kuchezaga PES ilikuwa ni 2012, nilivyokuja kuicheza ya 2017 nikasema hawa watu balaa.
hata graphic ziko poa sana.
 
pes liko vizuri hata graphic, kinachowaangusha konami ni leseni tu. viwanja vinakuwa vichache. na mambo mengine
Hapo umemaliza Mkuu, timu kama Bayern Munich eti haipo. Na hili tatizo la leseni lipo na muda mrefu saana, unakuta Game nzima licenced teams ni kama 8 au 10.

Fifa karibia timu zooote ni licenced, mpaka matimu ya chini chini uko ambapo PES hakuna kabisa.
 
pes2019-pc-requirements.jpg
 
Back
Top Bottom