the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 889
yeahHahaha Mkuu, hatari sana wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeahHahaha Mkuu, hatari sana wewe.
Dah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it halafu GB 10.8 na ipo ipo hivyo hivyoKwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.
Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
pes 2017 direct link
Pro Evolution Soccer 2017 Repack-CorePack | Ova GamesView attachment 855018chagua uptobox au google drive. naonaga ndio njia rahisi
utafikishwa hapaView attachment 855027weka tiki kwamba wewe si robot
then weka tiki vibox vyenye alama ulitakavyo ulizwa. kama ni gari au store au street signView attachment 855035then comfirm
View attachment 855080
direct but nadhani si ya kudumu Filecrypt
torrents: Download Pro Evolution Soccer 2017 (PES 2017) CPY(+CRACKFIX) [English] [v Torrent - Kickass Torrents
patch inistallation
MUHIMU: zima antivirus na fire wall wakati unainistall na kudownload cracked software yeyote.
Double click hapo nilipozungushia duara, then setup itarun automaticalDah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it
nenda kwenye zip file hilo uliodownload then right click the choose extract here. Halafu ndo ufanye hayo uliyoelekezwa.Nimefanya hivyo still nothing happen inaniambia ni mount main iso by using ultra iso!!!
Dah! Kama mie nimedownload pes 2017 kwenye ocean of games cha ajab setup.exe sioni naona mafaili ya ajabu ajabu tyu msaada please na nilizima antivirus before install it
Download daemon tool lite ni ya bure ina mount iso. Kama unatumia windows 10 just right click kisha chagua mount.Nimefanya hivyo still nothing happen inaniambia ni mount main iso by using ultra iso!!!
Huyu hajaextract file yani analifungulia file ndani ya winrar ndio shida nadhani.Download daemon tool lite ni ya bure ina mount iso. Kama unatumia windows 10 just right click kisha chagua mount.
Ukisha mount game litatokea kwenye my computer ama this pc na utainstall kama cd kwa kuchagua autorun ama ku right click kisha chagua open folder na ku click setup.
Imount ktk My Computer or This PC. Kisha run, itakupa option ya play, settings, install n.kNimefanya hivyo still nothing happen inaniambia ni mount main iso by using ultra iso!!!
Inawezekana ipo ndani ya rar au ikawa ni iso, kwenye ocean of games baadhi ya games zinakuwa ni iso zinataka ku mount.Huyu hajaextract file yani analifungulia file ndani ya winrar ndio shida nadhani.
Ni vyema ukasema kwa njia ipi ili wengine wasiulize maswali ama kuanzisha thread.Tankx very much guyz nimefanikiwa
Pamoja mkuu, nilikuwa sijaelewa hapo kwanini imeleta hio msg ya ultra iso, ama hio iso ilikuwa ndani ya rar?Ni rar mkuu alinitumia picha inbox. Na kashafanikiwa.
Baada ya Ku extract file nikabonyeza setup kilichoandikwa setup VB encoding then ikafunguka file jengine ndani yake ndio kuna hizo setup mkuu!!!!Ni vyema ukasema kwa njia ipi ili wengine wasiulize maswali ama kuanzisha thread.
Chief unapatikana sehem gani nije n.a. PC yangu unisaidie ku installs hizi mamboKwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-: