Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Fifa 15 ilikuwa inataka specs kubwa sana, machine inayorun 2015 naamini inarun 2017 na 2018 pia.Mm nacheza fifa 15 naweza kupata patch zake?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fifa 15 ilikuwa inataka specs kubwa sana, machine inayorun 2015 naamini inarun 2017 na 2018 pia.Mm nacheza fifa 15 naweza kupata patch zake?!
Huja Apply crack bado, kwenye setup ya game kutakuwa na folder la crack, sio lazima liandikwe crack linaweza andikwa chochote ndani utakuta dll za steam na launcher ya pes 17 copy vyote kwenye main directory ya game.Specifications za PC yangu ni Dell core i5 third generation, RAM 4GB. Nimepakua PES 2017 lakini halifunguki. Linaniambia Error steamAPI. msaada wakuu tatizo linaweza kuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini nitaskuma FIFA 19 fresh bila tatizo loloteKwenye 17/18 series Pes ni demanding kuliko FiFa
download hapa ovagames.com or oceanofgames.com
Patch utazipata hapa micano4u. Pesedit or pte patch.
Natumaini nitaskuma FIFA 19 fresh bila tatizo lolote
View attachment 854339
Huja Apply crack bado, kwenye setup ya game kutakuwa na folder la crack, sio lazima liandikwe crack linaweza andikwa chochote ndani utakuta dll za steam na launcher ya pes 17 copy vyote kwenye main directory ya game.
Yaani toka nimeacha kucheza magame na kuangalia movie nimeamgukia kwnye Ulevi uliopindukiamKwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.
Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Naisi unasemea kuchezea kwenye simu.Je ninaweza kucheza hilo game nikitumia PSP emulator kama ndio nipe link.
Pro Evolution Soccer 2017 PC Game – Repack Black Box - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | GamesYaani toka nimeacha kucheza magame na kuangalia movie nimeamgukia kwnye Ulevi uliopindukiam
Nilikua na PC nzuri HP pro ook ya kisasa kabisa kwa ajil ya Games na Movie ..hakuna Game lilikataa kwnye Ile PC..niliuza ...na sasa namili kaDell fulani Hivi ambako nilikosa imani nakonkwa kuaota game poa ..Ni 2GB ram na 350HD. 2i core duo .. kwa thread yako naomna uniokoe ndudu ...nipate hilo game unalolizunguzia ...ilie niweze kurudi kama zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
download tu official la andoid lipo playstore
Hapa unacheza bila wasi wasi na hata gpu ikishindwa Fifa resolution yake inapunguzika kirahisi.Natumaini nitaskuma FIFA 19 fresh bila tatizo lolote
View attachment 854339
yeah si unaona GPU yangu 1GB najipanga nitafute pesa Ninunue hata 4GB au 2GBHapa unacheza bila wasi wasi na hata gpu ikishindwa Fifa resolution yake inapunguzika kirahisi.
ExactlyKwa hizi specs utasukuma vzr tu