PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Specifications za PC yangu ni Dell core i5 third generation, RAM 4GB. Nimepakua PES 2017 lakini halifunguki. Linaniambia Error steamAPI. msaada wakuu tatizo linaweza kuwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huja Apply crack bado, kwenye setup ya game kutakuwa na folder la crack, sio lazima liandikwe crack linaweza andikwa chochote ndani utakuta dll za steam na launcher ya pes 17 copy vyote kwenye main directory ya game.
 
Kwenye 17/18 series Pes ni demanding kuliko FiFa
Natumaini nitaskuma FIFA 19 fresh bila tatizo lolote
Capture.PNG
 
Huja Apply crack bado, kwenye setup ya game kutakuwa na folder la crack, sio lazima liandikwe crack linaweza andikwa chochote ndani utakuta dll za steam na launcher ya pes 17 copy vyote kwenye main directory ya game.

Natafuka patch ya fifa 15
 
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update transifer,kit,faces etc)
Tricks na mengineyo mengi.

Binafsi kwa sasa nacheza zaidi pes 2017( Nimeupdate next season 2018-2019.) Hii ni kutokana na kuwa ni jepesi na zuri kwa graphics. Likihitaji processor ya 2 duo, 1gb ram na mb512 vram.(gpu)
Kama umekwama mahali, tatizo lolote uliza hapa wadau tukujibu.
Nb:Game kwetu burudani kama burudani zingine.
Yaani toka nimeacha kucheza magame na kuangalia movie nimeamgukia kwnye Ulevi uliopindukiam
Nilikua na PC nzuri HP pro ook ya kisasa kabisa kwa ajil ya Games na Movie ..hakuna Game lilikataa kwnye Ile PC..niliuza ...na sasa namili kaDell fulani Hivi ambako nilikosa imani nakonkwa kuaota game poa ..Ni 2GB ram na 350HD. 2i core duo .. kwa thread yako naomna uniokoe ndudu ...nipate hilo game unalolizunguzia ...ilie niweze kurudi kama zamani

Pro Evolution Soccer 2017 PC Game – Repack Black Box - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | Games
 
Back
Top Bottom