PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Mi nacheza Pes 2017 kwenye Intel HD 3000 inarun very smooth aseee hadi raha, fifa kwangu inacheza ya 14 but imekuwa patched to 18.

Tatizo la fifa kuanzia gameplay building up mpaka kuscore ni ngumu balaa but pes ni simple sana, ila pes 2017 naona long shot kufunga ni mtihani kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
fifa gumu sana kama umezoea pes. halafu master ligi yao nzuri but kukosekana uefa ndio kunainyima utamu. coz unakuta mtu unagombea vikombe vya ligi tu. na sio kuqualify uefa na europa
 
Wakuu anaejua namna ya kuongeza viwanja katika pes 2017 msaada please,
Maana nimedownload pes 2017 kutoka ocean of games nimeinstall vizuri lkini inshu katika viwanja vipo 10 na kuna jamaa aliniambia huwa vinakuwa 41 so kwa mwenye ujuzi wa kuongeza hivo viwanja naomba msaad mkuu maana nimajaribu njia z youtube vimegoma kuongezeka.



Sent using Jamii Forums mobile app
simple sana. unanajua kugenerate cpk file za dlc
 
PES2017 Multi-Switcher Season 2018/2019

PES%2B2017%2BMULTI%2BSWICHER%2B18-19.jpg

Features:
- Scoreboards For All Leagues Automatically
- New Scoreboards For All competitions Automatically
- World Cup 2018
- UEFA Euro 2020
- Copa America 2016
And More
- New Tunnel For All Stadiums
- New trophy
- Snow Mod
- New anthems 2018/2019
- New Camera 2019
And More . .


Notes
- Compatible With:
Next Season Patch 2019 AIO
All Patches
- Size: 257 MB


Preview & Installation


Download
Mediafire
MEGA

Installation Method
1. Download & Extract files
2. Copy All Files to:
PES 2017 Main Folder
3. Run Game by ''PES2017 Multi-Switcher.exe''
 
PES ipo smooth saana, mchezaji anakimbia kwa uhuru, wachezaji wapo simple kugeuka, chenga n.k ila FIFA ni tofauti, ni ngumu sana aiseee, hupigi chenga wala kugeuza mchezaji utakavyo.
ongeza game speed itakuwa fresh
 
Mkuu serious umependa game kwenye console kuliko kwenye pc... Dah bado hujaonja utamu wa pc mkuu.
Mkuu me Nina PC HP nachezaga pes 17 but kuna mda inafika inakuaa slow so nashindwa kuelewa sijui wakati nacheza nakua nime block zile vent za kupumulia kitu ambacho kinapelekea over heat then slow au shida mini????
 
Mkuu me Nina PC HP nachezaga pes 17 but kuna mda inafika inakuaa slow so nashindwa kuelewa sijui wakati nacheza nakua nime block zile vent za kupumulia kitu ambacho kinapelekea over heat then slow au shida mini????
fungaga app zingine zote wakat unarun game
 
Back
Top Bottom