PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

pc yangu ina
cpu i5-5200U 2.2GHZ
Ram 6GB
video card ni 520 intel vp itapiga game gami ya mpira kti ya fifa na pes kuanzi 2017
 
mkuu naomba specifications za hii pc yako
HP PROBOOK 6460B
Core i5 2nd generation
2.50ghz
ram 4 gb
graphic intel hd 3000

lakin ilo game ni fifa 14 ila niliweka patch ya fifa 19 ndo mana ukaona ipo ivo
 
Ram zingefika 8 nafikiri huenda utacheza fifa 19 kwa low settings
pc yangu ina
cpu i5-5200U 2.2GHZ
Ram 6GB
video card ni 520 intel vp itapiga game gami ya mpira kti ya fifa na pes kuanzi 2017
 
Lete hapa pc spacification.

Pia hakikisha umeupdate driver wakati mwingine usaidia hasa za gpu
Wakuu nimedownload pes 2018 lakini Lima play slow San nifanyaje naomben msaada wenu
 
Pes 2017.

Smokepatch 17 v 17.0.0

Now available. Gb 7.77

Stadium saver 147 stadium gb 12
 
Habari fellow gamers! Kwa anaejiamini n mkal wa pes pc version aje nimfue kidogo, awe anaweza kwel kwel. mm binafsi napendelea pes 18 zaidi kuliko pes 19
 
Utachakaa mkuu, hujasema upo wapi au online?
 
Habari fellow gamers! Kwa anaejiamini n mkal wa pes pc version aje nimfue kidogo, awe anaweza kwel kwel. mm binafsi napendelea pes 18 zaidi kuliko pes 19
dau unalo au kavu kavu.
 
Back
Top Bottom