Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo chuon huku tabora, sema nakuja dar around next week nafuata ada kwanzaupo wapi?
mm naomb gta 5 ya pc ndug yanguSimu huna uikonect au njoo nikupe. Kama uko dar.
nitakushukur sana mkuu pande zp upomajuzi tu nimeformat hdd yang bahati mbaya ila nilikuwa nalo.
Ila soon nitalitafta tena nitakujulisha.
Wakuu mwenye fifa 18 for pc na yuko arusha naomba aje inbox tuyajenge ninashida na hili game muda wa kudawnload sina
Asante
Utachakaa mkuu, hujasema upo wapi au online?
Msahada tafadhali kwa naejua
habari wana pes and fifa Nime install need for speed 2005 kwajili ya kucheza madogozangu.tatizo niki lifungua kuanza kucheza linaanza kidogo baada ya dakika kaza desktop inazima na kujiwasha msahada kwa anaejua suluisho asante
Core 2 duo 1.89 and 1.88. ram 3.5GB hddck space 30gb system window 64 bit window7 v ram 878 hp desktopEmbu leta uwezo wa pc yako hapa.
Processor
Ram
Gpu
Core 2 duo 1.89 and 1.88. ram 3.5GB hddck space 30gb system window 64 bit window7 v ram 878 hp desktop