Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Weka Bei hapa tuone. Kila mmoja atakuwa anaingia pm kweliKwa anayehitaji PS4 Slim 1TB ani pm.
me ndio maana pess uwa siikubali kabisaPes 2022 (efootball pes) nasikia ni bure na watu wamei rate ni mbovu kupita maelezo. Umevunja Record za rate mbaya.
View attachment 1960031
Naona wanatuletea ujinga wa simu kwenye PC pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Pes 2022 (efootball pes) nasikia ni bure na watu wamei rate ni mbovu kupita maelezo. Umevunja Record za rate mbaya.
View attachment 1960031
Naona wanatuletea ujinga wa simu kwenye PC pia.
Hawa jamaa wasipoangalia watatoka kwenye ushindani.
Nalo ni la mpira??Hawa jamaa wasipoangalia watatoka kwenye ushindani.
Kuna game la 3 linakuja tofauti na Fifa na Pes linaitwa UFL
NdioNalo ni la mpira??
Kidogo litawapa changamoto Pes hili nao wajifikirie kuliboresha game lao..Ndio
Wameshatoa na trailer
Sema wanafocus kwenye multi-player online.
Jamaa wamebadili jina wamebadili na muonekano. Kiukweli wamefanya vituko. Yaani ni vituko.Pes 2022 (efootball pes) nasikia ni bure na watu wamei rate ni mbovu kupita maelezo. Umevunja Record za rate mbaya.
View attachment 1960031
Naona wanatuletea ujinga wa simu kwenye PC pia.
Dom sehemu gani mzee?Zipo za kutosha,
Assassin Creed, dead pool, gta3, na V, the punisher, Spider-Man, mission impossible, call of duty, call of duty watch dog, na mengine kibao NFS2, Fifa, resident evil, GTA grand thief etc etc
Nishahama huko chiefBado upo dom?
Dom sehemu gani mzee?
pess 17Ni game ipi ya mpira inafaa kwa pc yangu?
Specification corei3 ram 4 gb
Hamna noma mzee, nilikuja "wantaim"[emoji23] kesho nageuza, km upo dar nitakucheki.Nishahama huko chief
Poa mkuupess 17
poa poaHamna noma mzee, nilikuja "wantaim"[emoji23] kesho nageuza, km upo dar nitakucheki.
Nishatimba kwa amos makala chief.poa poa
Sawa chief weekend utanchk bhasNishatimba kwa amos makala chief.