πππNimeshamuuliza, inaonekana alifanya installation tuu..
Setup yake haipo kwenye hii computer..
Naeza pata link ya fifa19 au hata pes 2017 ambaya iko cracked ni download mwenyewe.
RReigns Chief-Mkwawa
Mkuu naomba link
RReigns
Kama una antivirus au window defender Ina Tabia ya ku block suspicious exe file wanahisi Kuna virus Yuko ndani kwaiyo ili kuondokana na iyo tatizo kwanzaWakuu habari..
Nina fifa19 kwenye pc yangu..
Nimecheza kama wiki mbili fresh kabisa, saivi haifunguki kabisa . Niki"click ile link ya kufungua ina load kama ukiwa unarefresh computer afu haifunguki chochote...
Computer ni Lenovo yoga X360 core i5 6th gen.
Ram 8
SSD 256
Msaada wakuu wiki ya pili sasa sijacheza game
Msaada wa site ya kudownload Latest Patch ya PES 2017??
SP walishaacha kutoa Patches za PES, now days wana game lao linaitwa Football Life..SmokePatch
SmokePatch Football Life: Download the latest version and mods for PC. updated rosters and content, enhanced graphics, and simulation gameplay.www.pessmokepatch.com
Ha ha ha ha ha Fifa 14 tamu sana, hata mimi nachezaga.Watu wako mbali mimi bado nakomaa na fifa 14 [emoji1787]
Wengi inakuwa shida ni mashine, mashine uwezo mdogo.shida nini? Uwezo wa pc yako?
ndio mkuu pc ndio shida . nilijaribu kuweka fifa 15 nikawa nacheza kwa tabu nikaona niachane nayo nikarudi kwenye 14 maana hai demand sanashida nini? Uwezo wa pc yako?
wanasema fifa 14 ndio fifa tamu kuliko zote kwamaana ya gameplayHa ha ha ha ha Fifa 14 tamu sana, hata mimi nachezaga.