PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Vp career kuna changes gani?
Next gen labda. Unaonyeshwa hadi mashabiki wanavyoingia uwanjani.

Pia kocha anahojiwa. Ukiongea vizuri ama vibaya kuna athiri molari ya team.
Pia wamerudisha wakati wa match kupata matokeo ya baadhi ya game zinazoendelea kwa kutangaza.
Training pia ipo kuongeza uwezo wa wachezaji
Kuna wachezaji wa youth academy unapewa update maendeleo yao. Ukiona wanafaa unawapandisha team ya wakubwa.

Now nipo league one na Ipswich town. Napambana wapande championship.
 

Attachments

  • 16941964047871652219948172475111.jpg
    295 KB · Views: 10
Unaweza kuskip Multiple matches?
 
Sema kuna match nyingine unacheza unashangaa wachezaji wanakuwa wazito kufanya maamuzi. Unapiga pasi yeye anachelewa. Wanapungua kasi. Yaani wanakuwa kama wamechoka sana. Ili hali stamina inaonekana imejaa.

Yaani unapiga shuti sehemu clear kabisa ya kufunga yeye hapigi.🙌😅
 
Unaweza kuskip Multiple matches?
Pia maboresho mengine... Unaweza kuskip match hata kama ukiwa unaicheza. Labda unaongoza mbili unaweza kuamua kijump kwenda tu kwenye matokeo ya mwisho.


Hivyo hivyo kwenye kusim match unaweza kukatisha ukaingia uwanjani kuicheza. Game inaendelea kwa muda ule ule.
 
Hii fresh mkuu, sometime kucheza mechi 38-46 kwa msimu inaboa.
 
Mkuu vp
Pc yako uliifanyia update?
 
Hapa FIFA wametisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…