Kwa ushauri wangu na uzoefu mdogo tafuta pc zenye processor za ryzen 5/7
1. 1030 ina nguvu kuliko mx130 atleast Gddr5 version.Mkuu nina laptop yenye mx130 lakini inasukuma Fifa19 kwa tabu sana tena ni low settings, 1030 itaweza vipi Fc24?
i5 10210U1. 1030 ina nguvu kuliko mx130 atleast Gddr5 version.
2. Fifa 19 likely ulikuwa bottlenecked na kitu chengine kama ram ama cpu, unaweza kunitajia specs nyengine za hio laptop?
Haina gpu kadi,Ram 4gb, napia nataka gpu kad isiyod lak 2 na kama itacheza game za ps4 iwe offlineMaelezo ya mashine hayajakamilika
Kuna low profile gpu nyingi mno mkuu.Haikai gpu mkuu hizo madhine ni sff.
Yaani labda uweke gpu za gt ama Radeon ambazo kiuwezo unakuta zinazidiwa na hiyo gpu ya vega inayokuja na cpu.
Hii ina rating mbaya mno. Ni latest imetoka hata miaka minne haina nafikiri ni equivalent ya gtx 1630., Rx 6400
Hiyo processor yako ni core i3??Haina gpu kadi,Ram 4gb, napia nataka gpu kad isiyod lak 2 na kama itacheza game za ps4 iwe offline
Mkuu hizi specs zinapiga Fifa 19 bila issue, minimum requirement za Fifa 19 ni i3 2100 ram 8GB na R7 260 gpu. Specs za kawaida sana hizi machine yako ipo zaidi ya qualified.i5 10210U
Ram 12GB
Gpu mx130
Rx 6400 ina rating mbaya kwa watu wasioelewa imetengenezwa kwa ajili ya nani vitu ambavyo haina (mfano video codecs) tayari Oem machine inavyo. Kama una build pc mpya rx 6400 sio nzuri ila kMa una Oem machine za kina HP na dell basi ni gpu nzuri sana sababu Oem machine hawatumii cpu isio na video codecsHii ina rating mbaya mno. Ni latest imetoka hata miaka minne haina nafikiri ni equivalent ya gtx 1630.
Hizi zote umeweka mkuu uko sahihi ila changamoto kwenye masoko ya online tulikozoea ya reja reja china.
Sizioni, Hata zilizopo bei mkasi unakuta bora uchukue gpu kubwa tu ya kueleweka.
Mkuu vyote nimeweka hivyo, option ya high perfomance, pia uwa nacheza ikiwa inacharge…nikiweka low settings ndo inakubali nayo bado haipo smooth kivileMkuu hizi specs zinapiga Fifa 19 bila issue, minimum requirement za Fifa 19 ni i3 2100 ram 8GB na R7 260 gpu. Specs za kawaida sana hizi machine yako ipo zaidi ya qualified.
Nahisi utakuwa unarun windows kwenye battery server, hakikisha wakati una run game umechomeka adapter, Eka windows kwenye perfomance mode then run.
Pia kuanzia eka settings zote low
BalaaRx 6400 ina rating mbaya kwa watu wasioelewa imetengenezwa kwa ajili ya nani vitu ambavyo haina (mfano video codecs) tayari Oem machine inavyo. Kama una build pc mpya rx 6400 sio nzuri ila kMa una Oem machine za kina HP na dell basi ni gpu nzuri sana sababu Oem machine hawatumii cpu isio na video codecs
Pia inategemea unanunua soko gani, masoko ya ndani China rx 6400 ni kama 200,000-300,000 zinacheza hapo.
Ebay pia unazipata kwa hio bei.
Zipo updated mkuu, ni juzi tu nimeupdateUmeupdate driver za gpu?
Ikiwa Ina lag jaribu kufungua task manager uone kitu gani exactly kinasababisha hivyo.Mkuu vyote nimeweka hivyo, option ya high perfomance, pia uwa nacheza ikiwa inacharge…nikiweka low settings ndo inakubali nayo bado haipo smooth kivile
Ikiwa Ina lag jaribu kufungua task manager uone kitu gani exactly kinasababisha hivyo.
Pia fps uliweka 30 ama 60?
Gtx 1080 nzuri ila utahitaji pia psu za maana na imepitwa na wakati kidogo feature wise ila kwenye perfomance bado ni gpu ya maanaBalaa
View attachment 3088810
Baadae nataka kwenda rtx ..
Ila hivi rtx 2060 (bei 400,000 - 500,000)
Na rtx 3050 (bei ni zaidi ya 700,00)
Ina nguvu zaidi?
Pia kuna gtx 1080. Nayo bei yake ni hiyo laki 7 - 8
Nikiweka 30 ubora wa game unapungua kabisa…Ikiwa Ina lag jaribu kufungua task manager uone kitu gani exactly kinasababisha hivyo.
Pia fps uliweka 30 ama 60?
PRocessor n 2, icore 3 ram4 500hhd na haina gpU
Hiyo hela inaweza kutosha but kama utachukua baadhi ya parts kutoka kwenye hiyo pc unayotumia kwa sasa, kama ram, hdd, cpu etc.Nikiweka 30 ubora wa game unapungua kabisa…
Nina bajeti ya 800k njia gani nzuri ya kuunda PC itakayocheza FC24 smooth?