Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Dog nilikuwa pes 17 patch 25 bahati mbaya San madogo walifuta kama PC Ina Nvdia 840m kwenda Juu karibu nikupe fifa 19 na pes 21 Utanipa hela ya Bia Tu mpwaWakuu mwenye fifa 14 patch 24/25 au pes 17 patch 24/25 anisaidie location nije kuchukua pc yangu ime corrupt nimepoteza games asee[emoji32]
Mim ninalo pes 17 patch ya 23/24, kama unalihtaji njoo gomzWakuu mwenye fifa 14 patch 24/25 au pes 17 patch 24/25 anisaidie location nije kuchukua pc yangu ime corrupt nimepoteza games asee😨
Fifa 19 hii?Mungu akijalia ninunue hata PC yenye nvida GTX 1050 hata ya mtumba Tu. View attachment 3131754View attachment 3131755
Heshima yako kiongozi, nimekucheki PM!Ni PS4, nataka kununua.
Game ambazo nataka kucheza ni FIFA, Red Dead Redemption 2, The Witcher 3 na Uncharted 3.
Unapata kinguin mpaka €30 sema not worth it kwa shared account kulipia hela hio. Subiria kidogo black Friday na msimu wa siku kuu kutakuwa na offer nyingi.Chief-Mkwawa hivi nawezaje kupata fc25 kwa bei chini. Hata kwa mtu ambaye labda anauza maana usd 70 bado parefu.
Ndio na mimi nawaza nisubiri msimu wa december sikukuu bei labda zitashuka napo si uhakika.Unapata kinguin mpaka €30 sema not worth it kwa shared account kulipia hela hio. Subiria kidogo black Friday na msimu wa siku kuu kutakuwa na offer nyingi.
Sasa hivi kuna sale ultimate kutoka $100 hadi $40 kwa 60% off, standard ipo vile vile, ikishuka standard kwa same percent angalau $30 kushuka unaweza ukajibana ukanunua. Blackfriday ni mwezi unaokuja Nov mwishoni.Ndio na mimi nawaza nisubiri msimu wa december sikukuu bei labda zitashuka napo si uhakika.
Sasa hivi kuna sale ultimate kutoka $100 hadi $40 kwa 60% off, standard ipo vile vile, ikishuka standard kwa same percent angalau $30 kushuka unaweza ukajibana ukanunua. Blackfriday ni mwezi unaokuja Nov mwishoni.
Server bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.Halafu now fc24 online ma Bots yamekuwa mengi hadi kero, yaani asilimia kubwa unakuta huchezi na real person.
Sijajua...Server bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.
naiitaji mkuuMim ninalo pes 17 patch ya 23/24, kama unalihtaji njoo gomz
Mkuu sorry naomba niulize kidogo..Server bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.
Ndio inasupportMkuu sorry naomba niulize kidogo..
Ivi Google Pixel 4a ina support eSIM??
Ndio mzeeFifa 19 hii?
Nimepata notificationServer bado ipo south Africa? FC24 haijauza sana kama Fifa 23, maybe ndio maana hakuna player wengi. Labda server za Ulaya ama North Africa player wakawa wengi.
Fifa?hiii ya 2023 n kali sema mziki n kulifanyia installation ninalo kwenye pc yan chuma kinacheuwa tu hakiingii cjui n copy au n nn
PC Ina spec zipihiii ya 2023 n kali sema mziki n kulifanyia installation ninalo kwenye pc yan chuma kinacheuwa tu hakiingii cjui n copy au n nn