Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guys PC yangu ina hzo specifications ila person 2017 inastuck kila baada ya mech 2 yaanai inaanza slow motion za ajabu mpaka raha ya kucheza inapotea. Nisaidieni jinsi yakulitatua hili tatizo. nafanyaje?View attachment 1137675View attachment 1137676
Pc unatumia ile ile au umebadili?
Ukipata time njoo ubadilishe update labda litatulia
Siwezi kupata link ya updates ama namna ya Ku-update maana niko mbali kwa sasa
setting yake ni ya Japan?Serkiro shadow die twice dah hii ni game mpya ya mwaka huu kali sana sema ngumu kinoma asee hadi inabidi nitumie cheat
engineView attachment 1146378View attachment 1146382
View attachment 1146383
yeah back in time japan hukosetting yake ni ya Japan?
napendaga sana game za design hii.
Kama unatumia patch ya smokepatch 17 make sure umeinistall sider pack sp17Msaada jinsi ya kuweka real trophies kwenye pes 2017... yaani Epl, world cup na Makombe mengine yawe real. Nimehangaika sana wakuu
Shukrani mkuu ngoja nijaribu.Kama unatumia patch ya smokepatch 17 inistaal sider.
Then add on.