PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Mkuu hivi hii si naweza ifanya biashara kabisa? maana uwezo wa kupata ps 4, 2 na ps 3 angalau 2 ninao na flat hizo angalau inch 32 si naweza pata faida kidogo au imekaaje?
Yaah ni biashara watu wanafanya. Nzuri kwa sasa ni ps4.
Unapata ps4 hata za mkononi kwa lak 5 - 7. (Maana wengi now wanaswitch kwenda ps5)
Na hizo flat nchi 32.
 
Karibuni tucheze Call of Duty mobile, mchezo utaanza saa 11 kamili jioni hii kwa masaa ya kibongo so kama utakuwa tayari click link hapo uweze kufanya Registration ya kujiunga hapo wadau ni free tu. Angalau dk 20 kabla ya mchezo kuanza uingie kwenye link u'confirm uwepo wako, Karibuni Tuburudike Call of Duty Battle Royale ndo habari ya Mjini [emoji56]

Leo Jumamosi ya kuburudika wadau

Link Kwa ajili ya kuweka uwepo wako wa ajili ya mchezo ni free tu, tunacheza kwa starehe zetu!


Karibuni wadau, kumbuka saa 11 jioni ya leo mchezo unaanza!

"Heroes don't wear Caps, they wear Dog Tags"View attachment 1748422
Screenshot_20210410-164021.jpg
View attachment 1748423
 
mkuu nacheza pes2017 nimedanload kupitia Utorrent tatizo hakuna timu ya Bayern MUnich nawezaje kupata patch yake
 
Kwangu linalag nyingi msaada wenu jinsi ya kuondoa lag maana zipo kwenye kupiga kona.Kushangilia na kipa akiwa anapiga mpira mbele
Fifa au pes ya mwaka gani? Pc yako ina uwezo gani?
 
Kuna njia tofauti ya kuupdate graphic tofauti na ya automatical?
Ndio, Check Model ya GPU yako kule kwenye Device Manager...kama ni Nvidia Basi nenda official site ya Nvidia search Model then download same applies ukiwa na AMD
 
Wadau mbaye ana data Ambazo timu za Africa zote zimo ikiwemo Simba Sc kwenye pes 2017 anisaidie.Maana mimi nilizonazo yumo yanga tu.
Unaweza tengeneza mwenyewe kama Una muda ukashare na wenzako. Kwenye edit unaweza tengeneza timu na wachezaji.
 
Habari wanandugu
Nina tumia laptop Haina ya HP ELITEBOOK
CORE i5, ram gb 6
Je PC games za pes 2015 na kuendelea zitaplay kwenye PC yangu..
Kingine, mwenye games hizi
1. GTA 5
2. CALL OF DUTY
3. IGI 3.
4. FIFA AU PES YA PC
naomba tuwasiliane popote ulipo Dar nitakufata unipatie setup..
Sitakuacha mkono mtupu nitakupoza...
Mawasiliano yangu Ni
0746 785704, 0628 354523 Naishi Jirani na buza Dar es salaam....
Tunaweza kubadilishana na PC games ambazo ninazo
1. Project IGI 1.
2. Project IGI 2.
Nina movies singles zaidi ya 100+
Na season kadhaa....
Videos & Audios nyimbo za kutosha...
 
Wakuu samahani, PC hii inaweza play game lolote la mpira hata PES 2017?
Screenshot_20210430-171726.jpg
 
Habarini wadau. Naomba mwenye fifa 14 patch yoyote Ile.
 
Hivi graphic ambayo ni best inauzwa bei gani na ina GB ngapi???
 
Back
Top Bottom