Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Mkuu hivi hii si naweza ifanya biashara kabisa? maana uwezo wa kupata ps 4, 2 na ps 3 angalau 2 ninao na flat hizo angalau inch 32 si naweza pata faida kidogo au imekaaje?Peter na jim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi hii si naweza ifanya biashara kabisa? maana uwezo wa kupata ps 4, 2 na ps 3 angalau 2 ninao na flat hizo angalau inch 32 si naweza pata faida kidogo au imekaaje?Peter na jim
Yaah ni biashara watu wanafanya. Nzuri kwa sasa ni ps4.Mkuu hivi hii si naweza ifanya biashara kabisa? maana uwezo wa kupata ps 4, 2 na ps 3 angalau 2 ninao na flat hizo angalau inch 32 si naweza pata faida kidogo au imekaaje?
naanza nayo February mkuu Mungu asaidie nina idea kadhaa maana namimi mchezaji pia......Yaah ni biashara watu wanafanya. Nzuri kwa sasa ni ps4.
Unapata ps4 hata za mkononi kwa lak 5 - 7. (Maana wengi now wanaswitch kwenda ps5)
Na hizo flat nchi 32.
Mkuu kwani umeshindwa kupipiga patch ya msimu huu 2021mkuu nacheza pes2017 nimedanload kupitia Utorrent tatizo hakuna timu ya Bayern MUnich nawezaje kupata patch yake
Naomba link ya pes17, patch ya 2021Mkuu kwani umeshindwa kupipiga patch ya msimu huu 2021
Ongeza ram ifike nne itakuwa vyema, wanasema patch huongeza uzito. Pia update graphics driver inaweza saidia.Pes 2017 ila lina Patch za 2020
pc yangu Hp 2 core
Ram GB2
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ndio, Check Model ya GPU yako kule kwenye Device Manager...kama ni Nvidia Basi nenda official site ya Nvidia search Model then download same applies ukiwa na AMDKuna njia tofauti ya kuupdate graphic tofauti na ya automatical?
Unaweza tengeneza mwenyewe kama Una muda ukashare na wenzako. Kwenye edit unaweza tengeneza timu na wachezaji.Wadau mbaye ana data Ambazo timu za Africa zote zimo ikiwemo Simba Sc kwenye pes 2017 anisaidie.Maana mimi nilizonazo yumo yanga tu.
Tatizo muda, kuanza ku edit mchezaji mmoja mmoja inataka moyo, ligi nzima Uta edit wachezaji 400 mpaka 500.Mkuu kama ushafanya hivyo nitumie Link maana kiukweli kwenye ili nashindwa
Ps 13, Fifa 14 zitaplay smoothly.Wakuu samahani, PC hii inaweza play game lolote la mpira hata PES 2017?View attachment 1772018
Poa nimpatie broKuna mtu anazo hzo pc games 10k @ nikupe namba?
Kinachoangaliwa ni graphic card mkuuWakuu samahani, PC hii inaweza play game lolote la mpira hata PES 2017?View attachment 1772018