PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Unacheza kama Manager ni text based, huchezeshi wachezaji, unahusika tu na kusimamia mazoezi, kununua wachezaji, kutengeneza mifumo etc
Anhaaa, sawa mkuu. Kwangu inakuwa haina miujiza hiyo.
 
Mkuu vp
Pc yako uliifanyia update?
Kwasasa natumia hp elitedesk 705 g5

Amd ryzen 5 pro 3400g

With amd Radeon vega 11.

16gb of ram

Ssd 256gb

Inacheza game zote heavy kwa 720p

Game ambzo nimeshacheza na hii mashine hadi sasa ni
Fifa19 (hii ipushiwa kwa utra settings)
Mortal kombat 11 (hii ilisukumwa kwa 1080p)
Call of duty mw2 campaign remastered (1080)
Fifa 23 (1080p)
Uncharted losty legacy (720p)
God of war (720p)
Days gone (1080p)
 
Kwasasa natumia hp elitedesk 705 g5

Amd ryzen 5 pro 3400g

With amd Radeon vega 11.

16gb of ram

Ssd 256gb

Inacheza game zote heavy kwa 720p

Game ambzo nimeshacheza na hii mashine hadi sasa ni
Fifa19 (hii ipushiwa kwa utra settings)
Mortal kombat 11 (hii ilisukumwa kwa 1080p)
Call of duty mw2 campaign remastered (1080)
Fifa 23 (720p)
Uncharted losty legacy (720p)
God of war (720p)
Naweza kuipata kwa bei gani mkuu?
 
Naweza kuipata kwa bei gani mkuu?
Ñi za kubahatisha sana pc zenye processor za amd. Me niliipata kwa laki nne.. but naipushi hata hivyo coz ni small form factor. Kako poa sana hata kakikaa ghetto kanavutia sema hakakai gpu kubwa... Nataka nichukue gpu ya rx 580.
 
Wapi naiweza kuipata mkuu
 
Ñi za kubahatisha sana pc zenye processor za amd. Me niliipata kwa laki nne.. but naipushi hata hivyo coz ni small form factor. Kako poa sana hata kakikaa ghetto kanavutia sema hakakai gpu kubwa... Nataka nichukue gpu ya rx 580.

Unauza bei gani hiyo?
 
860M inasukuma fifa bila shida,
Mkuu kwema nilikuwa nimeagiza hii padi nyingine hapo imefika jana fresh. Iko poa sana.

IMG_20231010_181651_998.jpg

Ila sasa nimeshindwa kuconect ili zifanye kazi zote mbili pamoja na ile ya ps4.. incase tukitaka kucheza watu wawili.
Ila nikiunganisha moja ile ya pili inakuwa inablink tu haiunganiki na pc. Nifanyaje mkuu?
 
Wazee wazee naenjoy fifa 23 kwa kupitia pc aina ya Dell Inspiron 15 gaming , ram 12GB, ssd 250GB, HDD 1T, PROCESSOR I5 GENERATION 7 , FULL mautamu, cracked game,
Graphic 3GB, Nvidia GeForce 1050, Intel hd graphics 650, , kwa anae hitaji hii pc anaweza nipa offer kiasi Gani?
 
Mkuu kwema nilikuwa nimeagiza hii padi nyingine hapo imefika jana fresh. Iko poa sana.

View attachment 2779054
Ila sasa nimeshindwa kuconect ili zifanye kazi zote mbili pamoja na ile ya ps4.. incase tukitaka kucheza watu wawili.
Ila nikiunganisha moja ile ya pili inakuwa inablink tu haiunganiki na pc. Nifanyaje mkuu?
Unatumia driver gani mkuu Ds4windows? Ama una connect direct?
 
Ww
Wazee wazee naenjoy fifa 23 kwa kupitia pc aina ya Dell Inspiron 15 gaming , ram 12GB, ssd 250GB, HDD 1T, PROCESSOR I5 GENERATION 7 , FULL mautamu, cracked game,
Graphic 3GB, Nvidia GeForce 1050, Intel hd graphics 650, , kwa anae hitaji hii pc anaweza nipa offer kiasi Gani?
Unauza sh ngap?
 
Back
Top Bottom