Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kaka pesa kama ipo itaonekana tu, huwezi ifichaIts like this,
Kila mtu yoyote ana haki ya kufanya kile akipendacho kutokana na uwezo wa kuwa nao
Ila nimekuja kujifunza, kuwa pesa inatabia ya ku-expose ulimbukeni wa mtu.
Pesa hainunui class wala proper mindset, pesa kwa muafrika ina expose his or her extreme intentions sasa ndio mambo kama haya.
Dar jiji la Wajanja Wajanja, Nenda Kahama, Katoro, Tunduma, Mafinga, Makambako, Njombe, Mbeya.Wenye hela hawanaga kelele, njoo dar
Maskini bwana. Wana kila namna ya kujiliwaza ili kwenda sambamba na wenye hela zao! Ahahahahaha!!Its like this,
Kila mtu yoyote ana haki ya kufanya kile akipendacho kutokana na uwezo wa kuwa nao
Ila nimekuja kujifunza, kuwa pesa inatabia ya ku-expose ulimbukeni wa mtu.
Pesa hainunui class wala proper mindset, pesa kwa muafrika ina expose his or her extreme intentions sasa ndio mambo kama haya.
HUYU jamaa unaambiwa ni mchache kijana wa juzi, madon wa madini wametulia wanampima, watu wana pesaDar jiji la Wajanja Wajanja, Nenda Kahama, Katoro, Tunduma, Mafinga, Makambako, Njombe, Mbeya.
Watu wana migodi balaa kabisa.
Hajapiga kelele huyo, mpiga kelele chief godlove, huyo mwamba kaishi haja dharau mtu ,haja tukana mtu yeye kaishiMnasemaga pesa haitaki kelele ila mwamba anapiga kelele na pesa haikimbii.
Kaza bidhaa maisha HAYANA mwenyeweNipo nasubiri zamu yangu ifike!
Kama unajua maana ya kelele, hizo nazo ni kelele.Hajapiga kelele huyo, mpiga kelele chief godlove, huyo mwamba kaishi haja dharau mtu ,haja tukana mtu yeye kaishi
Mimi natokea Kahama, kuna mzee anaitwa Ndegesera asset zake zina Zaidi ya Bilioni 400 TZSHUYU jamaa unaambiwa ni mchache kijana wa juzi, madon wa madini wametulia wanampima, watu wana pesa
Kama umeelezea sana lakini usiache kutafuta pesa.Its like this,
Kila mtu yoyote ana haki ya kufanya kile akipendacho kutokana na uwezo wa kuwa nao
Ila nimekuja kujifunza, kuwa pesa inatabia ya ku-expose ulimbukeni wa mtu.
Pesa hainunui class wala proper mindset, pesa kwa muafrika ina expose his or her extreme intentions sasa ndio mambo kama haya.
Kwani wewe hufanyagi harusi? Hutaki gari? Ni kelele zipi kafanya? Haja tamba kaishi hayo ni maisha Yao ya kila siku., ni vile hawatupii instagramKama unajua maana ya kelele, hizo nazo ni kelele.