Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #101
Mmhh seran we ni WA Kanda ya ziwa? Mbona unaufahamu mambo hivo? Nakumbuka kama sikosei Kanda ya ziwa Hummer zilikua mbili, Moja ilikua mwanza Kwa yule mshikaji muuza mabomba, na tools za maji Kwa ujumla anaitwa nani sijui, alikua pale town kabisa, Moja ilikua geita ilikua inamilikiwa na yule mwenye mgodi nyarugusu miaka hiyo japo nasikia awamu ya tano ilipotea nae kisa alimzinguaga magu miaka hiyooIle nyekundu🤭
Hao maboss shimoni wanazama dayworkerKwahiyo wanaingia kuchimba wenyewe au
Eli uyo? Eli ni wa kahamaYaani huyu kama jua,kote yupo.
Haya Sasa tusubiri harusi,ukweni wajibu mashambulizi😁
Zongii yopa😂Mmhh seran we ni WA Kanda ya ziwa? Mbona unaufahamu mambo hivo? Nakumbuka kama sikosei Kanda ya ziwa Hummer zilikua mbili, Moja ilikua mwanza Kwa yule mshikaji muuza mabomba, na tools za maji Kwa ujumla anaitwa nani sijui, alikua pale town kabisa, Moja ilikua geita ilikua inamilikiwa na yule mwenye mgodi nyarugusu miaka hiyo japo nasikia awamu ya tano ilipotea nae kisa alimzinguaga magu miaka hiyoo
Ewaaaaaaaaa mwenyewe huyooo na yeye sijui bado yupo kitambo sana?Zongii yopa😂
Seran na hamu sana nije nikuone siku Moja, nahisi nakufahamu, mwanza sija kaa sana japo ni kwetu ila geita nime kaa japo kidogoEli uyo? Eli ni wa kahama
Sasa dayworker akipata mzigo chini hawezi kuficha usijue?Hao maboss shimoni wanazama dayworker
Yupo sana ana chuma moja kali sana baada ya kutamba na escalade miaka mi3 nyuma!Ewaaaaaaaaa mwenyewe huyooo na yeye sijui bado yupo kitambo sana?
Huwezi kunifahamu, mwanza kubwa na watu ni wengi mno!Seran na hamu sana nije nikuone siku Moja, nahisi nakufahamu, mwanza sija kaa sana japo ni kwetu ila geita nime kaa japo kidogo
Huwi peke Yako anakuwepo mpambe wa boss yani foremen, alafu DHAHABU ikionesha mkanda tu wanajua mali ipo karibu umakini kama wote, pia kule kwenye kuosha napo ndo mambo yoteSasa dayworker akipata mzigo chini hawezi kuficha usijue?
Hivi huyo jamaa Huwa ni urithi au man madeYupo sana ana chuma moja kali sana baada ya kutamba na escalade miaka mi3 nyuma!
Kajanjajanja😁,Eli uyo? Eli ni wa kahama
Twende shorii mimi ndio najiandaa hapa🌚Katoro na Kahama kuna upako wa hela
Watu matajiri jamani🙌
Kinacho nishangaza katoro biashara zipo hot kuliko geita mjini, mtihani huuKatoro na Kahama kuna upako wa hela
Watu matajiri jamani🙌
Ni kweli tangu miaka hiyo nimesoma pale green view kiseke miaka hiyooo pambe sanaaHuwezi kunifahamu, mwanza kubwa nawatu ni wengi mno!
Kuna harusi ilifanyika kahama mwaka huu,wale wasukuma walimwaga pesaaa,Eli uyo? Eli ni wa kahama
Sio urithi kijana kaanza kutafuta pesa miaka mingi sana kwa kuuza tu bolt na nuts miaka hiyo, watu wanakomaa mzee, kapambana na hiyo hardware hapo sahara, ndio sikuhizi anq hiyo ghrorfa yote yake, watu wamekuja kumjua alipoanza kununua hayo magari! Hafu ni jamaa mdogo mdogo tu!Hivi huyo jamaa Huwa ni urithi au man made
Zile kazi unapostTwende shorii mimi ndio najiqndaa hapa🌚View attachment 3628723
Ngoja kawanyooshe😅Kajanjajanja😁,