MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Mnaambiwa ipisheni hii ipite😁😁😁Unaambiwa watu wame cancell harusi zao ili tu wasihaibike, kamati imetoa bilioni Moja na mamilioni we ifanye harusi kamati ina toa kiwanja cha laki nane na tv utajisikiaje
Si kweli tusijipe matumaini sana Kuna jamaa alihamia huko kufanya biashara, kilicho mpata ACHA TU, sio dolo hiloo, acha mihemko tuliza akiliNaenda kufanya biashara zangu
Maana mzunguko wa hela upo
Hata ukipeleka biashara huko lazima itakuwa hela inazunguka.
Noma sana.Hapa mpaka walifukuzwa wanatoa tu pesa aisee!😅🙌🏾
SakfyukaMnaambiwa ipisheni hii ipite😁😁😁View attachment 3628745
Dah🤣Mnaambiwa ipisheni hii ipite😁😁😁View attachment 3628745
Jamaa alimtunza MC Hadi akachanganyikiwa.Hmm masifa hayo sasa aisee! Sema wengine ni inada hizo nyie mnajua anajitoa tu, pesa zina mambo nyie😅
Mimi naamini nikipata nafasi ntafanikiwaSi kweli tusijipe matumaini sana Kuna jamaa alihamia huko kufanya biashara, kilicho mpata ACHA TU, sio dolo hiloo, acha mihemko tuliza akili
Mimi hata iweje geita sijui katoro siendi ng’o!😂Si kweli tusijipe matumaini sana Kuna jamaa alihamia huko kufanya biashara, kilicho mpata ACHA TU, sio dolo hiloo, acha mihemko tuliza akili
🤣🤣🤣🤣🤣,Sakfyuka
Jamani😂
Watu wanayo pesa mamaake!😅Jamaa alimtunza MC Hadi akachanganyikiwa.
Kuna muda alikuwa anawatunza maharusi
Nsena akamwanbia amsaidie
Akampa kibunda Nsena,akaanza kuzimwaga pale
Huyo jamaa aisee ni moto wa kuotea mbali
1billion zawadi ya kamati
Aahhh Katoro shikamoo 🔥🔥
Safari njemaMimi naamini nikipata nafasi ntafanikiwa
Hapana usiseme hivo, kwenda unaenda ila sasa inategemeana unaenda kufanya biashara gani?Mimi hata iweje geita sijui katoro siendi ng’o!😂
Elfu kumi tu napata kw shidaWatu wanayo pesa mamaake!😅
Watatolewa kafara acha wajichanganye huko usukumani majamaa ni machawi kinoma,🤣🤣🤣,nimecheka
Aisee watu wapo speed,mwanza itajaa,wadada wa dar watakumbilia mwanza.
serikali nasikia imeandaa mpango mji katoro inaendelea kwa kasi toka mwaka jana walipoiteua kama wilaya wawekezaji ni wengi kwasasaVijiji vyote vya jirani, migodi nk huja kununua katoro, ni mipango tu ya serikali zetu hizi mtihani sana ila sehemu kama katoro ilitakiwa ipangiliwe mapema kabla haijajaa
Hii ni fursa pia Kwa waharamia wa migodini😁,waache wajichanganye.Watatolewa kafara acha wajichanganye huko usukumani majamaa ni machawi kinoma,
Au wafanywe misukule maana malaya wengi dar wameshachafuliwa kiroho ni km makapi
Mimi nikipata nafasi lazima nifike nijionee.Mimi hata iweje geita sijui katoro siendi ng’o!😂
Maisha ya mitandaoni hayajawahi kunikimbiza hivyo! Niende kisa hizo trends like seriously?😅Hapana usiseme hivo, kwenda unaenda ila sasa inategemeana unaenda kufanya biashara gani?
Amefanyaje🥹Anko wangu alikuwa na rafiki huko geita,aisee alikuwa anaenda mara nyingi, akanunuliwa Hadi pikipiki na huyo rafiki, mwaka huu alienda huko karudi jina🙌, yaani