Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa.
Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.

Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu.
Mashamba yake ya mkonge yanayumba uzalishaji, hawezi kuweka akiba yake yote kulisha mibaba mizima na ndevu zao kama Mugalu alafu kwa msimu linafunga goli moja huku linacheka na kutafuna jojo.

GSM sio kwamba ana mapenzi na yanga ila hao wote na Mo wanafanya biashara kupitia hizi club, Yanga haijampa matokeo mazuri kibiashara ndio maana alifight simba wavae nembo yake dili likabuma.

Sasa inabidi afe kiume kuokoteza hela kwenye magodoro na mafuso yake na malori mambo yaende sawa pale jangwani, alafu jitu moja lopolopo linataka timu iende USA, Marekani sio matombo kuwa unapanda Abood na buku kumi yako umefika.

Mpira bongo hauwezi kujiendesha bado uchumi wetu ni mdogo sana, hawa GSM, Mo na Bakhresa na Azam media wanajitahidi sana tuwaponde wachezaji ila hawa watu watatu salute kwao.
 
Pamoja na hayo mm nawapa pongezi kwa uthubutu wao kuifanya ligi yetu kuwa inapendwa na wachezaj wazur wanakuja

Miaka kumi nyuma sisi tulikuwa tunasajir wazee walofel au kustaafu lakn Leo na ss tuvutia vjana na kuifanya tz kuwa njia panda ya kwenda ulaya au North Africa

Mwisho kabisa Simba imetuheshimisha kimataifa tumain langu na yanga nayo kwa ubora wa sajil zao naiona future ya soka la bongo likipaa

Tusiwabeze wawekezaji wetu badala yake tuwaunge mkono hasa Azam media wameleta mapinduz makubwa
 
gsm anauza jezi elfu 35tsh alafu anaipa club 1300tsh hii ni haki kweli?,hata kama kuna gharama zingine lakini kuwapa uto 1300 kwenye elfu 35 sio haki ni unyonyaji!
Kule Avic city Mayele anamaliza kuku peke yake,kwa mwaka anakula kuku wangapi,bado posho,usafiri,miishahara,na wahuni wanafyatua jezi feki kibao
 
Kulianziswa ile program ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50, wenyenchi mikelele yote mil 100 na project ikafa, milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.

Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu ,mashamba yake ya mkonge yanayumba uzalishaji, hawezi kuweka akiba take yute kulisha mibaba mizima na ndevu zao kama mugalu alafu kwa msimu linafunga goli moja huku linacheka na kutafuna jojo.

GSM sio kwamba ana mapenzi na yanga ila hao wote na Mo wanafanya biashara kupitia hizi club, Yanga haijampa matokeo mazuri kibiashara ndio maana alifight simba wavae nembo yake dili likabuma.

Sasa inabidi afe kiume kuokoteza hela kwenye magodoro na malori mambo yaende sawa alafu tunataka timu iende USA, Marekani sio matombo kuwa unapanda Abood na buku kumi yako umefika.

Mpira bongo hauwezi kujiendesha bado uchumi wetu ni mdogo sana, hawa GSM, Mo na Bakhresa na Azam media wanajitahidi sana tuwaponde wachezaji ila hawa watu watatu salute kwao.
Tuma salamu.
 
USA simba walikuwa waende kwa mwaliko wa mmiliki wa timu ambaye ni rafiki yake Mo. Walisema mwaka huu hali ya hewa imebadilika mno kuna baridi zaidi kwahiyo hawaoni manufaa ya kuweka kambi US.
 
Wanasimba wenzangu tuanze kampeni ya kuzisaka B20 ziko wapi? tunataka uwekezaji mzuri..halafu kwa nini Boss Kasusa
 
Back
Top Bottom