Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

Kwaio ulifukuzwa home?
Nkiwa na miaka 20 mzee akasema niondoke kwake nikajitegemee, nikamuuliza nuende wapi na hapa ndio nimezaluwa,yeye ndio alitakiwa aondoke aende kwao jijijini.m wisho wa siku akashinda ugomvi nikasepa
 
Offcourse Viongozi wengi wa hizi timu Njaa tupu wapo kimaslahi hawa jamaa wa3 wanatuheshimisha sana …Msimu ujao bongo kuna VAR tutakua na ligi nzuri sana
 
Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa.
Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.

Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu.
Mashamba yake ya mkonge yanayumba uzalishaji, hawezi kuweka akiba yake yote kulisha mibaba mizima na ndevu zao kama Mugalu alafu kwa msimu linafunga goli moja huku linacheka na kutafuna jojo.

GSM sio kwamba ana mapenzi na yanga ila hao wote na Mo wanafanya biashara kupitia hizi club, Yanga haijampa matokeo mazuri kibiashara ndio maana alifight simba wavae nembo yake dili likabuma.

Sasa inabidi afe kiume kuokoteza hela kwenye magodoro na mafuso yake na malori mambo yaende sawa pale jangwani, alafu jitu moja lopolopo linataka timu iende USA, Marekani sio matombo kuwa unapanda Abood na buku kumi yako umefika.

Mpira bongo hauwezi kujiendesha bado uchumi wetu ni mdogo sana, hawa GSM, Mo na Bakhresa na Azam media wanajitahidi sana tuwaponde wachezaji ila hawa watu watatu salute kwao.
We acha ujinga GSM hajawahi kutumia hela yake
Hizo anazotumia ni pesa zilizochotwa benki wakati wa Singa Singa na Luge
 
Kiukweli hii ligi ya kununua mchezaji kwa milioni 400 wala kulipa mchezaji milioni kumi kwa mwezi.
 
Bajeti ya simba ni bilioni 3 sijui 2 kwa mwaka kama sikosei.. Huu udhamini na mbet nasikia mnono ni B, bado pesa za caf ni B, jezi ni B, za ligi m300, si haba wanaweza jimudu, wakiwa wajanja kwenye biashara za kuuza na kununua basi wanaweza jiendesha, shida timu zetu wajanja wengi, wanataka shida zao ziishie hapo hapo.

Hata yanga wanaweza kujiendesha kama viongozi wakituliza vichwa.
 
Back
Top Bottom