Nkiwa na miaka 20 mzee akasema niondoke kwake nikajitegemee, nikamuuliza nuende wapi na hapa ndio nimezaluwa,yeye ndio alitakiwa aondoke aende kwao jijijini.m wisho wa siku akashinda ugomvi nikasepaKwaio ulifukuzwa home?
Hizo B20 zinakuhusu vipi wewe mkulima wa mpunga ifakaraWanasimba wenzangu tuanze kampeni ya kuzisaka B20 ziko wapi? tunataka uwekezaji mzuri..halafu kwa nini Boss Kasusa
kwa maendeleo ya clubHizo B20 zinakuhusu vipi wewe mkulima wa mpunga ifakara
Baaaa!!!Hahahaaa uzi unachekesha huuukweli kabisa Mayele anakula kama mchwa mbwa yule!.
Tulia ww na mkopo wako wa bodaboda hamisiWanasimba wenzangu tuanze kampeni ya kuzisaka B20 ziko wapi? tunataka uwekezaji mzuri..halafu kwa nini Boss Kasusa
😂😂😂Kwani wanasimba wenzangu hamtaki maendeleo? Mudy anazinguaTulia ww na mkopo wako wa bodaboda hamisi
Ckub inakuhusu nini,we kazi yako kushangilia mogoli tukwa maendeleo ya club
Andika vizuri mkuuCkub inakuhusu nini,we kazi yako kushangilia mogoli tu
We hamisi tulia huwezi kusajili hata mchezaji mmoja wa kibongo😂😂😂Kwani wanasimba wenzangu hamtaki maendeleo? Mudy anazingua
Kwa hiyo baada ya kufukuzwa na mzee wako, ukaja mjini na kuajiriwa na Moo kama chawa wake, au?Mzee mwenyewe pamoja na kusaidia kazi home alinitimua nikapange sasa jitu kama bigirimana au mugalu kuyalea unadhani ni kazi ndogo
Hivi ukiulizwa 'umejuaje kuhusu kula kwa huyu Mayele kama mchwa'! Utajibu nini?kweli kabisa Mayele anakula kama mchwa mbwa yule!.
We acha ujinga GSM hajawahi kutumia hela yakeKulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa.
Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi.
Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu.
Mashamba yake ya mkonge yanayumba uzalishaji, hawezi kuweka akiba yake yote kulisha mibaba mizima na ndevu zao kama Mugalu alafu kwa msimu linafunga goli moja huku linacheka na kutafuna jojo.
GSM sio kwamba ana mapenzi na yanga ila hao wote na Mo wanafanya biashara kupitia hizi club, Yanga haijampa matokeo mazuri kibiashara ndio maana alifight simba wavae nembo yake dili likabuma.
Sasa inabidi afe kiume kuokoteza hela kwenye magodoro na mafuso yake na malori mambo yaende sawa pale jangwani, alafu jitu moja lopolopo linataka timu iende USA, Marekani sio matombo kuwa unapanda Abood na buku kumi yako umefika.
Mpira bongo hauwezi kujiendesha bado uchumi wetu ni mdogo sana, hawa GSM, Mo na Bakhresa na Azam media wanajitahidi sana tuwaponde wachezaji ila hawa watu watatu salute kwao.
Nauli ya matombo sh ngapiMarekani sio MATOMBO? Mkuu ipe heshima yake Matombo!
Je kwenye production ya hizo jezi yanga wamechangia shingapi?GSM anauza jezi elfu 35tsh alafu anaipa club 1300tsh hii ni haki kweli? Hata kama kuna gharama zingine lakini kuwapa uto 1300 kwenye elfu 35 sio haki ni unyonyaji!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nimecheka sanaNkiwa na miaka 20 mzee akasema niondoke kwake nikajitegemee, nikamuuliza nuende wapi na hapa ndio nimezaluwa,yeye ndio alitakiwa aondoke aende kwao jijijini.m wisho wa siku akashinda ugomvi nikasepa