Level za tamaa na uvumilivu zimetofautiana kwa binadamu😅Aibu ya tamaa haifichiki isipoluwa kwenye hela tu, ukowa huna unaachwa
Kuna mwanaume asie nunua utelezi kweli? Ata wewe umepatikana kwa dingi wako kununua uteleziUnanunua?
Kuna mwanaume asie nunua utelezi kweli? Ata wewe umepatikana kwa dingi wako kununua uteleziUnanunua?
hahahahaBei gani mama?
Hata waliooa wamenununua kwa 'Mahari' , same shit different namesUnanunua?
Kabisa wamenunuahata waliooa wamenununua kwa 'Mahari' , same shit different names
Ukitumia jina lako la chausiku ntakuja kuchangiaChausiku? Changia mada bas ndugu.
Kweli wee ni growngal. Kama unalielewa hili basi utaelewa msemo wangu wa kwamba kila mwanaume ananunua uteleziNi sahihi katika hili