Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiufup vijana tupambane sana kutafta pesa ukwenj hawataki elimuHii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu fulani akikikosa ndipo anafungua makucha au akishakipata ndipo hufungua makucha.
Shetani kasimama kidete kwenye pesa. Pesa ni shetani ingawa bila pesa bado hatujaishi.
Mungu tusaidie🙏
🤣🤣🤣kiufup vijana tupambane sana kutafta pesa ukwenj hawataki elimu
Kwa kweliTuishi humo
🤣🤣Ndo dawa yenuSiku hiz hakuna mapenz madada wanaboa kichz mmeonana Leo Leo mazungumzo kidogo, umependeza bint ningependa kuzungumza na wewe kidogo utaskia afu Leo sijala mara sina bandoo, shitttt hii inaua vibe Sana.. Kwanza mamb ya kishamba me najua unahitaj huduma izo zote ila ndo kwa utaratibu huu? nyokoo nenda kajipange Camp Joint kibadaa uko upate ela ya Kula na kifurush
🤣aiseeSiku hiz hakuna mapenz madada wanaboa kichz mmeonana Leo Leo mazungumzo kidogo, umependeza bint ningependa kuzungumza na wewe kidogo utaskia afu Leo sijala mara sina bandoo, shitttt hii inaua vibe Sana.. Kwanza mamb ya kishamba me najua unahitaj huduma izo zote ila ndo kwa utaratibu huu? nyokoo nenda kajipange Camp Joint kibadaa uko upate ela ya Kula na kifurush
Wacha weeMwanamume ukiwa na pesa kila aina ya pisi utamega
Kijana tafuta pesa×3
Kabisa mkuuNa hii inakuja baada ya watu kutanguliza hicho ulichokisemq maana shetan anajuwa pa kuanzia ila MUNGU wetu ni mwaminifu sna tena sana. tumtegemee yeye pekeyake na hakika majibu hutoka kweke toka zaman zile za mussa na akina daudi na wengine wengi kama akina danieli na kadhalika jamni mi nawaambia kwamba onjeni muone kwamba mungu ni mwema mwanamke akiwa na mungu ana mwamaume akiwa na mungu ni salama kwa familia yote na jamii yetu kwa ujumla hakika asanteni.
Kila mtu anafuata kitu..!! Iwe pesa au vileleeeeee...!!Hii ni kotekote, upande ke na upande me huingia penzini kimasilahi hivyo inachangia sana mahusiano yatawaliwe na ugomvi na ndoa kutokuwa na amani, sababu mtu anaingia penzini akitarajia kitu fulani akikikosa ndipo anafungua makucha au akishakipata ndipo hufungua makucha.
Shetani kasimama kidete kwenye pesa. Pesa ni shetani ingawa bila pesa bado hatujaishi.
Mungu tusaidie🙏
😂😂😂😂😂😷Siku hiz hakuna mapenz madada wanaboa kichz mmeonana Leo Leo mazungumzo kidogo, umependeza bint ningependa kuzungumza na wewe kidogo utaskia afu Leo sijala mara sina bandoo, shitttt hii inaua vibe Sana.. Kwanza mamb ya kishamba me najua unahitaj huduma izo zote ila ndo kwa utaratibu huu? nyokoo nenda kajipange Camp Joint kibadaa uko upate ela ya Kula na kifurush