MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni wale watu mnaotapeliwa kijinga sana mitandaoni.Sawa Mama yetu .
Naomba kuuliza ni kweli ulifatwa na mtu akiwa na nguo za kulalia ?
Kama anavyosema Kabendera?
Pole Sana je ni kweli MAMA jamaa alikufata akiwa half naked ?Wewe ni wale watu mnaotapeliwa kijinga sana mitandaoni.