JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu.
Eneo lenyewe liko Manzese karibia na na baa ya Mkwere , kwenye ile barabara ya kuelekea Tandale.
Analia sana na hajui afanyeje maana mtaji wote ndio huo umeenda.
Tuongeze umakini na ulinzi binafsi.
Eneo lenyewe liko Manzese karibia na na baa ya Mkwere , kwenye ile barabara ya kuelekea Tandale.
Analia sana na hajui afanyeje maana mtaji wote ndio huo umeenda.
Tuongeze umakini na ulinzi binafsi.