Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu.

Eneo lenyewe liko Manzese karibia na na baa ya Mkwere , kwenye ile barabara ya kuelekea Tandale.

Analia sana na hajui afanyeje maana mtaji wote ndio huo umeenda.

Tuongeze umakini na ulinzi binafsi.
Pole kwako na rafiki yako ILA pole hii haitarudisha vilivyoibiwa, je police wana taarifa?,baada ya wizi kugundulika asubuhi hii je mlilinda hiyo crime scene ili is iwe contaminated?,je Polisi wameshafika hapo na kuangalia cctv kama zinaweza saidia kuwapata wahusika?,hii ni police case wao ndio watoe majibu sahihi kwa mhusika ni haki yake
 
Sawa ngoja Tuendelee kuishi kwa mujibu wa sheria na wezi.

Ila mimi binafsi nasema asiyejali haki ya mwenzie hastahili kupewa haki yoyote.

Tizama Leo wezi wamemsababishia huyu mtu umasikini yeye na familia yake, aisee kifo ni suruhisho bora kwa hawa washenzi
Mkuu shirikisha ubongo wako, sijasema tuishi na wezi, tunatakiwa tuishi kisheria, working class wewe hutambui kuwa kapu hili linaishia police wao ndio wanatakiwa Kuja na majibu sahihi hapa,eneo la biashara ni LAZIMA cctv zifungwe mkuu unajua hili?,kila kituo cha police kinatakiwa kiwe na foresinc investigators SIO na sio ffu wa kukimbizana na wapinzani wa Chama dola
 
Pole kwako na rafiki yako ILA pole hii haitarudisha vilivyoibiwa, je police wana taarifa?,baada ya wizi kugundulika asubuhi hii je mlilinda hiyo crime scene ili is iwe contaminated?,je Polisi wameshafika hapo na kuangalia cctv kama zinaweza saidia kuwapata wahusika?,hii ni police case wao ndio watoe majibu sahihi kwa mhusika ni haki yake
Kwa bahati mbaya sana hapa bongo tukio likishafanyika watu wanajaa kwa wingi mno.

Eneo lote lishakuwa contamitated tayari. Yes, police wanayo taarifa.
 
Mkuu ninaelewa hii ndio maana tukajiwekea utaratibu wa kuishi kisheria, mtoto wako anapokua mwizi ndani ya familia yako unataka kuniambia utamuua?,tatizo la middle class wetu politicians wetu wamewajua mnapenda mihemko na short cut, politicians na police ndio hii bucket inaishia mlangoni mwao, muulize mtoa hoja je police walienda pale kukusanya vielelezo vya kusaidia uchunguzi?,je foresinc investigators walifika pale ku pick up finger prints?mkuu bado tunaishi in a shithole country nawe usiishi ki zuzu
Kwaiyo upo tayari kufuga jizi kwakuwa ni mwanao
 
Pole sana kwa mpambanaji !! Ila Kuna mafala humu kibaka sijui panya road akishikwa eti haki za binadamu huu uthenge muache kabisa ni kuwamaliza tu.
 
Sawa ngoja Tuendelee kuishi kwa mujibu wa sheria na wezi.

Ila mimi binafsi nasema asiyejali haki ya mwenzie hastahili kupewa haki yoyote.

Tizama Leo wezi wamemsababishia huyu mtu umasikini yeye na familia yake, aisee kifo ni suruhisho bora kwa hawa washenzi
Kwani Mafisadi wanao achwa wao hawasababishi umasikini kwa jamii?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maeneo hakuna walinzi wanawalindia ?

Ova
 
Kama waliweka walinzi,waanze nao hao

Ova
 
Back
Top Bottom