Pesa na Vifaa vyaibwa Manzese

Pole kwako na rafiki yako ILA pole hii haitarudisha vilivyoibiwa, je police wana taarifa?,baada ya wizi kugundulika asubuhi hii je mlilinda hiyo crime scene ili is iwe contaminated?,je Polisi wameshafika hapo na kuangalia cctv kama zinaweza saidia kuwapata wahusika?,hii ni police case wao ndio watoe majibu sahihi kwa mhusika ni haki yake
 
Mkuu shirikisha ubongo wako, sijasema tuishi na wezi, tunatakiwa tuishi kisheria, working class wewe hutambui kuwa kapu hili linaishia police wao ndio wanatakiwa Kuja na majibu sahihi hapa,eneo la biashara ni LAZIMA cctv zifungwe mkuu unajua hili?,kila kituo cha police kinatakiwa kiwe na foresinc investigators SIO na sio ffu wa kukimbizana na wapinzani wa Chama dola
 
Kwa bahati mbaya sana hapa bongo tukio likishafanyika watu wanajaa kwa wingi mno.

Eneo lote lishakuwa contamitated tayari. Yes, police wanayo taarifa.
 
Wezi ni watu wa kutiwa moto tu
 
Kwaiyo upo tayari kufuga jizi kwakuwa ni mwanao
 
Pole sana kwa mpambanaji !! Ila Kuna mafala humu kibaka sijui panya road akishikwa eti haki za binadamu huu uthenge muache kabisa ni kuwamaliza tu.
 
Kwani Mafisadi wanao achwa wao hawasababishi umasikini kwa jamii?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hayo maeneo hakuna walinzi wanawalindia ?

Ova
 
Kama waliweka walinzi,waanze nao hao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…