Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
😂Kwa mfano, kwa wengi tulioko mijini, ukituuliza tunazalisha nini; wengi tutakujibu, tumeajiriwa na tunalipwa mishahara ndio inayotusaidia kununua mahitaji yetu.
Swali, lingine; kama hayo mahitaji hayapo au mwenye nayo hayuko tayari kubadilishana na hiyo fedha yako; maisha yatakuwaje?
Watu itabidi wachukue laki moja waikatekate, waitie kwenye sufuria,kisha waichemshe wainywe supu