Jambo baya ni ushoga kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo yao.......wamenajisi makusudi ya Mungu kwanza kwa kwenda kinyume na maumbile na kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo ya kuhalalisha jambo ovu mbele za muumba.Kwa hiyo rainbow ikitokea angani unajificha? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa maagizo ya kuvitawala vitu vyote. Sasa hapa watu mnataka hata rangi za upinde wa mvua zitutawale, kwamba ukionekana nazo basi ni jambo baya! No, haiwezekani hata kidogo. Rangi zitutii wanadamu, sio wanadamu tuzitii rangi
View attachment 2238678