Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Kwa hiyo rainbow ikitokea angani unajificha? Mungu alipomuumba mwanadamu alimpa maagizo ya kuvitawala vitu vyote. Sasa hapa watu mnataka hata rangi za upinde wa mvua zitutawale, kwamba ukionekana nazo basi ni jambo baya! No, haiwezekani hata kidogo. Rangi zitutii wanadamu, sio wanadamu tuzitii rangi

View attachment 2238678
Jambo baya ni ushoga kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo yao.......wamenajisi makusudi ya Mungu kwanza kwa kwenda kinyume na maumbile na kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo ya kuhalalisha jambo ovu mbele za muumba.
 
Una uhakika?
Ivi kila muarabu ni muislamu?
Ivi kila shehe ni muislamu?
Ivi kila mzungu ni kafiri?
The "majority" kwani kuna utata gani hapo mkuu maana imani na utamaduni wa hiyo dini umeanzia huko,kuanzia mavazi,vyakula,lugha nk.
 
Back
Top Bottom