Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Jambo baya ni ushoga kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo yao.......wamenajisi makusudi ya Mungu kwanza kwa kwenda kinyume na maumbile na kutumia rangi za upinde wa mvua kama nembo ya kuhalalisha jambo ovu mbele za muumba.
 
Una uhakika?
Ivi kila muarabu ni muislamu?
Ivi kila shehe ni muislamu?
Ivi kila mzungu ni kafiri?
The "majority" kwani kuna utata gani hapo mkuu maana imani na utamaduni wa hiyo dini umeanzia huko,kuanzia mavazi,vyakula,lugha nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…