Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
... thubutu!
 
Ni uongo.

Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?

Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
 
Shida tpu mkuu, wamemweka kundi la "homophoboa" anaonekana ni mtu anaechukia mashoga na ukigundulika upo na hali hii kwa nchi za huko utakatiwa mirija mingi ya uchumi na hata kusagiwa kunguni ilimradi wakupeleke jela kwa kosa ambalo hujatenda
Na wakisha kupeleka Jela, lazima wakudunge sindano ya kukutia ushoga, na wwe mwenyewe ndiyo utaanza kutafuta mabasha wa kukuna Tigo!! Wazungu nyokoo sana!!!
 
Ni uongo.

Gueye hii ni mara yake ya pili kukataa kuvaa jezi ya hivyo na hakukatwa mshahara, iweje leo?

Na hata hivyo uhuru inamaanisha siyo lazima kukubaliana nao. So kama haukubaliani nao mtazamo wao ila ukawaheshimu kama binadamu then haina tatizo.
Mara ya kwanza alisingizia tumbo linamuma so wakachukulia poa ila mwaka huu aliporudia ndio wamembana na ikathibitika haungi mkono huu ushenzi, hapa ndipo shida inaanaza.

Sahau kabisa uhuru wa kusimamia kitu unachokiamoni wewe endapo washenzi hawakipendi, ndio maana kuna neno wamelitunga linaitwa "homophobia" wao wanamuona mtu yeyote asieunga mkono haya mambo anawachukia mashoga kiasi cha kutaka kuwaua, hapo ndipo unapojua haya majitu ukiyachokonoa ujiandae kisaikolojia. yani hata ulalamike unawaheshimu hao ashoga wao wanataka ufanye kwa vitendo kama kuvaa hizo jezi za upinde wa rangi.
 
View attachment 2234299

katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa psg (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Kwa kulieleza tu tatizo la kiimani kati ya ushoga na imani yake, huyo mchezaji kashinda tayari.
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Timu zina wenyewe hizo . Huyo tajiri wa PSG ni mmiliki tu wa timu . ila timu ni Mali ya wazungu . mmiliki hatakiwi kwenda kinyume na wenye timu. Wakilalia upande wa mashoga na wewe unalalia huko. Ukikaidi utakipata cha Roman Abromovic.
Sheikh mansoor wa Man City wenye timu yao wameanza kum doubt kuwa anashiriki kuchochea vita ya 🇷🇺🇷🇺 na 🇺🇦🇺🇦 kwa kuwafadhiri Russia. Yajayo kwa tajiri huyu yanafurahisha .
 
Kwa kulieleza tu tatizo la kiimani kati ya ushoga na imani yake, huyo mchezaji kashinda tayari.
Kwa wenzetu huko ukiwa mtu maarufu na ukathibitika huungi mkono ushoga hilo ni tatizo kubwna sana, sitashangaa wakimbambikia kesi kama za r kelly kwamba alibaka binti wa miaka 15.
 
Fedha Zina nguvu, hata hivyo upinde ulikuwepo toka kuumbwa kwa Dunia. Hili jambo liko kisaikolojia zaidi kuliko kiuhalisia.
 
View attachment 2234299

katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa psg (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Wamvishe na tundu.
 
Fedha Haina hata chembe ya Ushetani...ila njia unazotumia kupata Fedha ndiyo zinaweza kuwa za Kishetani...

Biblia Inasema "Fedha na Dhahabu ni mali ya Bwana"

Siyo mali ya shetani bali ni mali ya BWANA.
Biblia inasema shetani akamchukua Yesu hadi mlimani akamwonesha dunia na fahari zake zote, akamwahidi kumpatia kama atamsujudia. Yesu akakataa!
Sasa sheikh wangu fedha na dhahabu za duniani ni mali ya nani?
 
Aachane na huo upuuzi, kama anajiamini aondoke tu timu ziko nyingi za kucheza, hata kama mkataba atakaopata hautakuwa wa hela nyingi muhimu apate hela ya halali...
 
Back
Top Bottom