Una uhakika?Wamiliki wa hio timu ndio hao hao waliomletea hio dini anayokomaa nayo
Sasa ukisema hivyo unajua kwamba kabla ya Muhammad kulikuwa na imani zengine walizokuwa wakiziamini waarabu kutoka kwa mababu zao, hivyo pamoja na kuja uislamu wengine waliendelea na imani zao. Sasa inakuaje tuwape asili ya imani ya uislamu katika mazingira hayo kisa tu Muhammad alianza harakati zake za kiimani huko Makka ndio tuseme uislamu ni imani asili na waarabu?Zanzibar ndipo ulipoanzia uislam?
Zanzibar ndipo ulipoanzia uislam?
Kabis mkuu.
Ingelikuwa ni jezi nyuma inapicha ya wanaume wanafirana ningeona ina make sense kukataa.
Ila hizo just ni rangi tu ambazo hazina maana yoyote ile kiimani.
Ni sawa na mimi leo nikatae kuvaa shati yenye nyota na mwezi ama shati yenye picha ya ng'ombe eti kwa sababu tu huyo ng'ombe kuna watu wanamuabudu na dini hairuhusu kuabudu ng'ombe so nikatae kuvaa jeI yenye picha ya ng'ombe eti kisa nikivaa nitakuwa nasapoti,hii ni kutokuwa na mawazo yaliyotulia tu.
Sioni kama sahihi kukataa kuvaa hizo jezi kwa sababu ya hizo rangi,kwanza kukataa kwake ndio kunazidi kuipaisha hiyo lebo ya ushoga kuliko angekubali.
So kama lengo asisapoti ushoga anajikuta anausapoti zaidi kwa kuupinga kwake kwa sababu dunia yote iko macho na yeye.
Yeye angeliivaa tu na mambo yangeisha kimya kimya tu.
Kuna mambo ukiyakataa ndio unazidi kuyaa nguvu,na ukiyakubali ndio unazidi kuyanyima ngumu.
Ni suala la kufikiri vizuri tu.
Huo ndo uwiano alouona yeyeGueye naye ameyakuza mambo,alipaswa ayachukulie mambo katika hali ya uwiano.
Ni kweli kwa sababu kila anayezaliwa ni muislamSasa ukisema hivyo unajua kwamba kabla ya Muhammad kulikuwa na imani zengine walizokuwa wakiziamini waarabu kutoka kwa mababu zao, hivyo pamoja na kuja uislamu wengine waliendelea na imani zao. Sasa inakuaje tuwape asili ya imani ya uislamu katika mazingira hayo kisa tu Muhammad alianza harakati zake za kiimani huko Makka ndio tuseme uislamu ni imani asili na waarabu?
Maana yake muarabu asiye muislamu yupo kinyume na asili yake?
Sasa kwanini unapinga ushoga mkuu?Huyo bwege ningemuona wa maana Kama angekataa yeye mwenyewe bila kuhusisha dini,
maana dini zenyewe tumeletewa sasa vipi Kama dini yake ingekuwa inaruhusu kutatuliwa nadhani angekuwa Hana marinda.
Mimi nakataa ushoga bila kuhusisha chochote. dini zikikubali au bwege yoyote akubaliane na ufala huo...
my judgement is still stands
Inaweza kuwa anafanya ushirikina hamdhuru mtu hivyo inabaki kuwa ni suala la yeye na Mungu wake, sasa na ushoga wangeacha watu wafokoane huku wenyewe na sio kutaka wengine wasapoti na kuwa sehemu ya muhamasishaji.Anakataa kuvaa jezi ila utakuta ni mshirikina kinoma.Kwanza Imani yake inaruhusu mipira?
Mwenye kuvumilia mpaka mwisho, ndie ataokoka.View attachment 2234299
katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa psg (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.
Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi afrika.
Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .
Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.
wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Tena huo ndo mtihani mkubwa, kuna watz walikuwa wanawapikia wachina na hao wachina kila wiki lazima wachinje mbwa.Hela kwanza,mbona ma chef kwwnye mahotel wale suruali fup mbona nguruwe wanaipika kama menu kawaida though wao hawaili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wakisha kupeleka Jela, lazima wakudunge sindano ya kukutia ushoga, na wwe mwenyewe ndiyo utaanza kutafuta mabasha wa kukuna Tigo!! Wazungu nyokoo sana!!!
Timu zina wenyewe brother,wao wanaweka pesa tu,wazungu hawawez kuwapa timu watu wa race nyingine kijinga tu!!hawana maamuz yoyotr kwenye masuala ya tamaduni na taratibu zao,wap wanatoa hela wanasubiri faida basii!bahati mbaya au nzuri ni kuwa asilimia kubwa ya mabilionea wa kiarabu ndio wamiliki wa hizo timu na wameruhusu hilo jambo litokee kwenye timu zao.
Mmmh we jamaa mchuzi wanaonjaje sasaHela kwanza,mbona ma chef kwwnye mahotel wale suruali fup mbona nguruwe wanaipika kama menu kawaida though wao hawaili.
Kwa hiyo chimbuko la uislam lilianza maeneo mengine tofauti na hapo uarabuni?Sasa ukisema hivyo unajua kwamba kabla ya Muhammad kulikuwa na imani zengine walizokuwa wakiziamini waarabu kutoka kwa mababu zao, hivyo pamoja na kuja uislamu wengine waliendelea na imani zao. Sasa inakuaje tuwape asili ya imani ya uislamu katika mazingira hayo kisa tu Muhammad alianza harakati zake za kiimani huko Makka ndio tuseme uislamu ni imani asili na waarabu?
Maana yake muarabu asiye muislamu yupo kinyume na asili yake?
Point ni kuona waarabu wana asili na uislamu kwamba uislamu ni asili yao, ila kuhusu swali lako ni kwamba kwa mujibu wa uislamu wenyewe unazungumzia uislamu kuanza toka kwa Adamu huko na si kwamba umeanzia Arabuni kwa Muhammad.Kwa hiyo chimbuko la uislam lilianza maeneo mengine tofauti na hapo uarabuni?
Nikweli waarabu ndio wenye asili ya uislamu na huko kwao ndiko kuna vitu vingi vya kumbukumbu kuhus uislamuPoint ni kuona waarabu wana asili na uislamu kwamba uislamu ni asili yao, ila kuhusu swali lako ni kwamba kwa mujibu wa uislamu wenyewe unazungumzia uislamu kuanza toka kwa Adamu huko na si kwamba umeanzia Arabuni kwa Muhammad.