Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Muislamu kumzidi Boss wake maana yake nini?ukishakuwa muislamu imani uliyonayo ni wewe na Mungu wako,anaweza akawa anamzidi ndio,ila anayejua ni Mungu pekee,imani haina hatimiliki.
We mtanzania huwezi kuwa mdini kuliko waarabu wenyewe wenye dini yao
 
Huyo dogo ni mpuuzi tu.

Kuna mashekhe walikuja wakatuaminisha kwamba tusivae mashati fulani kwani hayo tukivaa tu tunawapigia promo freemasons.

Tunavaa mpaka kesho na hakuna rate yoyote ya watu kujiunga na freemasons.

sasa huyu jamaa naye sijui anafeli wapi,yeye angevaa tu Mungu sio mpuuzi kama anachukia ushoga Mungu anajua tu.
Mpuuzi ni ww unayekurupuka kuandika bila kufikiria kwa kina, jiulize kwann watu maarafu kama wachezaji,wanamiziki, waigizaji ndo wanapewa madeal yakupiga promo ushoga? Kapuku kama ww ukipiga promo ushoga nani atakuelewa?

Fikiria kwamba huyo dogo ana watu wangapi hapo nyuma wanamkubali, na ni role model wa watu wangapi?

Fikiria ni watu wangapi watadumbukia kwenye maswala ya ushoga baada ya yeye kuvaa hiyo jezi?
 
Na atajua mbivu na mbichi, tena kapewa na choice ya kurudi Africa, hapo ashindwe yeye tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afrika sisi watu nuksi sana wakisimama na wewe usifikiri watakusaidia ukiferi yeye angeacha mambo yaende yeye afanye kazi yake
 
Ningekuwa mm hapo ningesema ongezen mzigooo nipo tayari
 
Hahahah! Pesa n kitu kingne tofauti, iman tulizkuta na pesa tulizkuta pia.

Kuunga mkono s kufanya, kama anauhakika na anachotaka kukiamua bas kila la heri. Atakuwa mfano wa kuigwa hapo badae
 
View attachment 2234299


Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
tumblr_inline_o1ntkcVHxz1t2kg2z_500.jpg
ET0lLa_XsAQ01YM.jpg
DONFuVqX0AAV8vA.jpg
 
Kiranga na Mshana Jr tafadhali mawazo yenu ni muhimu hapa. faiza foxy na sky solder pia ni vyema mkakazia jambo hili tuelewane.
Mimi natetea haki za mashoga kufanya wanavyotaka lakini pia napinga mchezaji asiyependa kuvaa jezi zinazotetea ushoga kulazimishwa kuvaa jezi hizo.

Yani sitaki kuvunja haki za binadamu kuwanyanyapaa mashoga, na hapo hapo sitaki kuvunja haki za binadamu za mchezaji kumlazimisha apepee bendera la mashoga kama hapendi.
 
Sio Mchezaji Vs Imani yake.... Imani ipo ndani ya mchezaji lwahiyo hapo ni mchezaji Vs Wavuruga imani na wavuruga imani ndio hao wanao mlipa mshahara kwa maana kama kumekuja sharti la kuvaa au kukosa mshahara basi ni wazi wenye kupalilia ushoga ndio haohao wenye kulipa pesa(mshahara)

Ngoja niiweke rahisi sana

Umepewa kuchagua ushoga/pesa vs Mungu wako ? Hapo mchezaji inabidi achague tu upande huwezi kwenda navyo vyote viwili . Ukienda navyo maana yake Mungu ushamtupa . Tusitafute confort hii concept ni rahisi mno
 
Mvaaji na mtendaji ni vitu viwili tofauti ye akivaa wala sio kwamba yeye ndo anahamasisha ushoga haya matendo yalikueko toka muda mrefu na katika tabiri za Jesus Christ aliwah kunena kuwa zama za mwisho yatakuwa zaidi ya kile kipindi cha sodoma na gomorah,,kitu nacho kiona hapa ni kwamba dunia imekengeuka kabisa kabisa wengine tulio baki ni kujari nafsi zetu lakini ki uhalisia sisi binadamu hatuwezi kufuta dhambi zetu wa kufuta yupo na anajua kabisa mitihani tunayopitia [emoji120].
 
Kama vipi aje Simba tumpe million 50 kwa mwezi aendelee na maisha yake
 
Kwa jinsi jambo hili lilivyokwenda viral nilitegemea mabilionea wakiarabu wangempa support dogo kwa kumuambia shikilia msimamo wako usihofie kuhusu kupoteza kazi, sisi tutaku fadhili mamilioni ya pesa kwa kulinda misingi ya dini
Halafu wakiambiwa hizi tumeletewa tunashupaza shingo,cheki wamiliki wa hio team wamepiga kimya,kuna haja waafrica tujifikirie upya kuhusiana na hizi dini
 
Ningekuwa mm hapo ningesema ongezen mzigooo nipo tayari
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila watu jomone khaaah
 
Una ushahidi wa hili uliloliandika hapa? Lengo lako Ni nini? Kuuchafua uislam? Umekukosea nini?
Tembelea mahoteli ya kitalii mkuu kama unadhani ma chef wote ni makhafir.

Tena wao ndo waandaji wakuu,kwani we uko wapI kwa muda huu?.

Mi uislam haujanikosea kitu ila nimeeleza ukwelI uliopo.
 
Mmmh we jamaa mchuzi wanaonjaje sasa
Mkuu kwanI lazima waonje,mkuu fanya utafiti kwenye mahteli ya kutaifa,au kwenye vyuo vya upishi kama wakatu wa mafunzo ya kuandaa huyo m.dudu waI wanatengwa kwani
 
Tena huo ndo mtihani mkubwa, kuna watz walikuwa wanawapikia wachina na hao wachina kila wiki lazima wachinje mbwa.
Humu watu hawaelewi haya mambo.
Kikubwa hapa we waandalie watumiaji ,subiria mshahara mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom