Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU.

Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake.

Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako

Povu ruksa
mwanamke kama amekupenda wala hutumii mlungula,lakini kama hajakuelewa utatoa atalamba anapita vile.Wanaume tupige kazi muda ukifika fanya maamuzi sahihi.
 
Tuanzie Hapa,
Kwani kuhonga maana ake nn[emoji848]
 
Eti anatoa Ela ovyo ovyo,
Nyie vijana Hii tabia ya kupangia matumizi Ela za Watu mmezitoa wapi.
 
Ukiwa huna Ela,
Unaona wenye nazo nyingi ni Kama wanazitumia hovyo[emoji4]

Wito wangu: mtoa mada Katafute ela
 
Back
Top Bottom