DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Even IDD AMIN still lives in the hearts of some people in Uganda
 
Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!

Labda aliiba kwa nia njema.

For the greater good!

The road to hell is paved with good intentions.
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Tukizifuatilia za Ushelisheli,tunaenda Malaysia maana napo kuna Rais Mstaafu kipenzi cha wapiga dili kaficha huko mabilioni ya dola.
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Bila shaka hawa watakuwa SUKUMA GANG chini ya usimamizi wa fisadi Chenge, mzee wa vijisenti.
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Tinubu ana zaidi ya 4 billion USD kabla hajakabidhiwa Ikulu Abuja.
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Haisee jamaa alikuwa hatari sana, zirejeshwe Zije kusaidia katika ujenzi wa SGR.
 
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Lakini huyu katia fora aisee ni mwendo wa Trilions tu, hakuna billions.
 
Andika kiswahili! Kiingereza chako hakijasimama!Wewe umeenda shule lakin umeandika kingereza kwa mfumo wa kiswahili
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Zaidi ya zile alizosema Mh Rais Dr Samia za china kuna zingine tena??
Wale wazalendo walitaka kuuza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…