DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Andika kiswahili! Kiingereza chako hakijasimama!Wewe umeenda shule lakin umeandika kingereza kwa mfumo wa kiswahili
Ok Sir,but it is my to use any words if the message delivered in good way or bad it is good to me because it is a part of learning and corrections.
 
Huko mbali sana,pesa ziko kwenye akaunti ya Nyanza Construction na Mayanga Construction zaidi ya trilioni 2
Kwanini zisitaifishwe na Serikali kama hizo pesa hazina vielelezo vinavyo jitosheleza kwamba ni za halali ???!

Msisahau na zile za China 🇨🇳 !

Au mnawaogopa wahusika ??!
Au na ninyi ni wabia ??!
 
Kwanini zisitaifishwe na Serikali kama hizo pesa hazina vielelezo vinavyo jitosheleza kwamba ni za halali ???!

Msisahau na zile za China 🇨🇳 !

Au mnawaogopa wahusika ??!
Au na ninyi ni wabia ??!
Ukizitaifisha je wewe ni nsafi kihivyo
 
Ok Sir,but it is my to use any words if the message delivered in good way or bad it is good to me because it is a part of learning and corrections.
I can feel the way you want to know how to write and speak good english. Keep on learning without fear!

Never take in personal jokes from your colleague that will disappoint you from learning.
 
Back
Top Bottom