WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ok Sir,but it is my to use any words if the message delivered in good way or bad it is good to me because it is a part of learning and corrections.Andika kiswahili! Kiingereza chako hakijasimama!Wewe umeenda shule lakin umeandika kingereza kwa mfumo wa kiswahili
NaamHuko mbali sana,pesa ziko kwenye akaunti ya Nyanza Construction na Mayanga Construction zaidi ya trilioni 2
Kwanini zisitaifishwe na Serikali kama hizo pesa hazina vielelezo vinavyo jitosheleza kwamba ni za halali ???!Huko mbali sana,pesa ziko kwenye akaunti ya Nyanza Construction na Mayanga Construction zaidi ya trilioni 2
Ukizitaifisha je wewe ni nsafi kihivyoKwanini zisitaifishwe na Serikali kama hizo pesa hazina vielelezo vinavyo jitosheleza kwamba ni za halali ???!
Msisahau na zile za China π¨π³ !
Au mnawaogopa wahusika ??!
Au na ninyi ni wabia ??!
Wanataka kumchafua tu JPM !Ukizitaifisha je wewe ni nsafi kihivyo
I can feel the way you want to know how to write and speak good english. Keep on learning without fear!Ok Sir,but it is my to use any words if the message delivered in good way or bad it is good to me because it is a part of learning and corrections.
Hii kitu inauma sana Mkuuπ‘π‘Katika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.
Ile ya 4 ilitia foraHakuna awamu ambayo haijawahi kuliibia Taifa hili, hasa kuanzia ya pili nakuendelea.
Tukitaka kupigana hii vita tuache unafiki.
Nani kaziwekaHuko mbali sana,pesa ziko kwenye akaunti ya Nyanza Construction na Mayanga Construction zaidi ya trilioni 2
JpmNani kaziweka