Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka wakudake kwa mikono yao.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka wakudake kwa mikono yao.