smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Mweee!! eti Uishi vizuri na hawa nyani weusi??....hata ujishushe vepi km hawakukubali! hawakukubali tuuu!! ishi unavojisikia ni sawa kwako!! usijipendekeze eti kuogopa siku utashuka!! nani kasema??Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka wakudake kwa mikono yao.
Ulijipandisha/pandishwa na Mungu!! atakushusha yeye siyo Mutu! wapende/heshimu wote! ndo sheria! ila usi waumize wasokupenda hao ni waalimu wazuri. but weka mipaka!.....
Kuanguka/kupanda ni suala la akili yako wewena unavolichukulia/kwa uzito gani la kushuka kwako, some people wanashushwa, still wana shangilia vibaya! why?... kwa kuwa
wanatoa stress! wanapata wasaa wakufanya mengine mazuri zaidi !..sometimes hata kupumzika! lkn jitu la pembeni lilidhania huyu ana faidi ndo litaona una stress! umeshuka kuuumbe zero!
Hao unaodhania watakudaka uangukapo watakushindilia matofali huto amini!!......Binadamu yuko ivi........unaweza kuwa kawaida lkn yeye akakuchukulia unaringa!!! waweza jishusha still waka kudharau.....ishi unavoona nisawa!
piga mayi /socialize kwenye Harusi/ misiba sahihi kwako!....usijipendekeze kiasi cha kuji dhalilisha eti kwa sababu iko siku utaanguka! big Noooo!! alianguka Ayubu sembuse weye!
Hata uwe na kanyumba ka tope/nyasi kabayaa kuna kundi la watu watakuona unaringa,...ukiona vepi wa comfuse wana damu......utawa-comfuse vepi hilo ni somo lingine!
Hata iweje, teleza/,anguka ndo maisha, Bakia juu huko huko unako hisi ni sawa mpaka wakusahau! top! usijidharau! wewe niTajiri/ Mkubwa, umetelezea juu! baki huko huko! kamwe usirudi kule chini mavumbini! bali anguka, .........
anguko smart km Star!....kamwe usianguke km Mr Nice! hajui kuanguka kistar yule! tulipo sema '' tajiri unakufa na tai shingoni'' tulikuwa hatutanii ......basi ndo km hii!...
yaani unashindwa na Shetani/ hili jamaa linakufa ki star! kamwe ham lioni liki dhalilishwa na Mungu, wala hata kuja kuwaomba mlisaidie linafia huko huko ki-star!
Diaspora kufa ki-diaspora,......tajiri mfilisika teseka na kufa kitajiri tu! hakuna namna!..Waziri mstaafu kufa kiwaziri waziri tu! usife km muuza Magimbi sokoni!! hata kunako Msiba Wale wachekaji ...wake kuleee!! kwanza watajuaje!
Hili nalo ni somo! maalumu kwa watu Maalum, na kwa wakti Maalum kwa siku maalum!!