Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hapana bwana, tunakumbushana tu kuendesha manualJiwe gizaNi au...?🤣🤣
Kama unamsema mzee wa double taxation a.k.a tozo umepiga wash out. Jamaa ana mabasi, kampuni za kubet na vituo vya wese.Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani, na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapo anguka wakudake kwa mikono yao
Mambo ya Serengeti boy ndiyo yaliyo ku cost. Afadhali umezeeka kishujaa ukiwa umetembea pande zote nne za duniaNa wewe, pesa ya sensa na ilikuwa pesa, tuulize wastaafu.
Acha nongwa
Ulimtunguru wee mwana,Mambo ya Serengeti boy ndiyo yaliyo ku cost. Afadhali umezeeka kishujaa ukiwa umetembea pande zote nne za dunia
Niko kwenu huku Manushi Chini nachapa injiliUlimtunguru wee mwana,
Walilipwa sh ngapi?Kuna watu baada ya kupata Sensa walihisi ndo tayari wametoboa, hata kupokea simu walikuwa wanachagua.Sasa tunapishana vijiweni. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Walimu hao! Hii kada sijui ina matatizo gani aisee!Kuna watu baada ya kupata Sensa walihisi ndo tayari wametoboa, hata kupokea simu walikuwa wanachagua.Sasa tunapishana vijiweni. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Usile kondoo tuNiko kwenu huku Manushi Chini nachapa injili
Badala anunue kamtambo la kutengenezwa tomato sauce yeye anauza kwenye matenga!
Mnasakama makarani kama walipewa mamilioni!!!!Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka wakudake kwa mikono yao.