Pesa pesa kwa wapambanaji wote ndani ya jiji la dar na nje

kawombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
18,180
Reaction score
22,280
Habari,

Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store kisha sikilizia kama mwezi na nusu ivi.

Utavimbilwa mijihela kwa kutoa mzigo wako na kuuza kwa bei uitakayo ww mwenye mali mjini. Ni mwendo w kutamba tu. Tarehe 5-8-2026. Nimenunua kwa jumla katoni Tsh 127000 ilikua saa 8 mchana saa 9 alasiri nimeanza kuuza Tsh 154000 kwa katoni moja. Vuta picha uko na katoni ngapi? Pesa pesa kwa wapambanaji. Je baada ya mwezi n nusu itakuaje? Kwa ss nimestisha kuuza. Nimefunga store.

Kwa wamiliki w magari mtakua mashahidi cku ukienda kufanya service y gari na bei mpya za ENGINE OIL.

TIA PESA UPATE PESA.
All the best 👍 soldiers.
Kazi ni kipimo cha utu.
 
Attachments

  • Screenshot_20260806_100015_Google.jpg
    Screenshot_20260806_100015_Google.jpg
    173.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260806_100128_Google.jpg
    Screenshot_20260806_100128_Google.jpg
    145.7 KB · Views: 11
Hii habari inaukweli kwa asilimia ngapi tusije tukaweka ela alafu impact iwe sifuri
Nenda kwenye Duka la jumla ulizia bei kwa katoni. Kisha muulize kua kwani majuzi ilikua bei gani. Kama utakuta wanayo. Utackia imeisha boss.
Waliopo kwenye Game wanajua.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Habari
Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store kisha sikilizia kama mwezi na nusu ivi.
Utavimbilwa mijihela kwa kutoa mzigo wako na kuuza kwa bei uitakayo ww mwenye mali mjini. Ni mwendo w kutamba tu. Tarehe 5-8-2026. Nimenunua kwa jumla katoni Tsh 127000 ilikua saa 8 mchana saa 9 alasiri nimeanza kuuza Tsh 154000 kwa katoni moja. Vuta picha uko na katoni ngapi? Pesa pesa kwa wapambanaji. Je baada ya mwezi n nusu itakuaje? Kwa ss nimestisha kuuza. Nimefunga store.
Kwa wamiliki w magari mtakua mashahidi cku ukienda kufanya service y gari na bei mpya za ENGINE OIL.
TIA PESA UPATE PESA.
All the best 👍 soldiers.
Sio kila mtu anatumia Oil ya Total.
 
Nje ya mada: Mchina ndiye kinara wa kuharibu engine na gearbox zetu kwa oil fake na ATF fake pumbavu zake.
Na ndio maana mwenyewe TOTAL OIL kaamua kunyanganya leseni yake km outsource mchina.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkakati wako wa kuweka mzigo store ni mzuri kibiashara, ila tahadhari tu isije ikawa ni uhaba wa muda mfupi, kama kiwanda kikipata suluhisho mapema, bei inaweza kushuka ghafla na ukajikuta umeshikilia mtaji.
 
Habari,

Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store kisha sikilizia kama mwezi na nusu ivi.

Utavimbilwa mijihela kwa kutoa mzigo wako na kuuza kwa bei uitakayo ww mwenye mali mjini. Ni mwendo w kutamba tu. Tarehe 5-8-2026. Nimenunua kwa jumla katoni Tsh 127000 ilikua saa 8 mchana saa 9 alasiri nimeanza kuuza Tsh 154000 kwa katoni moja. Vuta picha uko na katoni ngapi? Pesa pesa kwa wapambanaji. Je baada ya mwezi n nusu itakuaje? Kwa ss nimestisha kuuza. Nimefunga store.

Kwa wamiliki w magari mtakua mashahidi cku ukienda kufanya service y gari na bei mpya za ENGINE OIL.

TIA PESA UPATE PESA.
All the best 👍 soldiers.
Kazi ni kipimo cha utu.

Hamna Haja. Oil zipo nyingi sana Tanzania aina tofaut tofaut
 
Mkakati wako wa kuweka mzigo store ni mzuri kibiashara, ila tahadhari tu isije ikawa ni uhaba wa muda mfupi, kama kiwanda kikipata suluhisho mapema, bei inaweza kushuka ghafla na ukajikuta umeshikilia mtaji.
Hili tumezingatia kiongozi. Ndio maana tumeweka cku 30 mpk 45. Hata kiwanda kikipata ufumbuzi bado usafilishaji kwa meli mpk tanganyika ni cku 45 mpk 60. Mzigo kifika bado mambo ya bandari kutoa kisha uje sokoni. Mm kwangu GAME itakua over.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hamna Haja. Oil zipo nyingi sana Tanzania aina tofaut tofaut
Na trusted ni ipi katika izo nyingi? Na bei nafuu ni ipi sokoni? Kama ni fundi utakua unaelewa na manisha nn.
Waliopo kwenye game wanaelewa vzr.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Na trusted ni ipi katika izo nyingi? Na bei nafuu ni ipi sokoni? Kama ni fundi utakua unaelewa na manisha nn.
Waliopo kwenye game wanaelewa vzr.
Kazi ni kipimo cha utu

1. Valvoline
2. Liquimoly
3. Atlantic
4. Puma
 
Kuna vitu viwili, wahuni wamekaa na stock muda mrefu wanawakimbiza wajinga wakakaushe mzigo wao au hadithi hii inaweza kuwa na ukweli.

Changanya na zako
 
1. Valvoline
2. Liquimoly
3. Atlantic
4. Puma
Na bei zake je?
Atlantic Lita 4 Tsh 95000.
Na izo zingine kipande changu azitambi kabisa utapiga nazo picha.
Total oil lita 4 Tsh 55000.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kuna vitu viwili, wahuni wamekaa na stock muda mrefu wanawakimbiza wajinga wakakaushe mzigo wao au hadithi hii inaweza kuwa na ukweli.

Changanya na zako
Na vyote vinawezekana. Fanya utafiti kwanza. Mbona kazi nyepesi piga simu kwenye Duka unako fanya service uliza bei kiongozi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Oil zote zimepanda boss na sababu siyo kama aliyosema mdau kwamba mchina amezuiwa kuingiza oil feki watu wanasingizia Hormuz Strait.
Cha muhimu ni kupanda BEI na Haipatikani KIRAHISI. Mwenye kuweza kuweka stock. Ajipigie pesa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom