kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 18,180
- 22,280
Habari,
Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store kisha sikilizia kama mwezi na nusu ivi.
Utavimbilwa mijihela kwa kutoa mzigo wako na kuuza kwa bei uitakayo ww mwenye mali mjini. Ni mwendo w kutamba tu. Tarehe 5-8-2026. Nimenunua kwa jumla katoni Tsh 127000 ilikua saa 8 mchana saa 9 alasiri nimeanza kuuza Tsh 154000 kwa katoni moja. Vuta picha uko na katoni ngapi? Pesa pesa kwa wapambanaji. Je baada ya mwezi n nusu itakuaje? Kwa ss nimestisha kuuza. Nimefunga store.
Kwa wamiliki w magari mtakua mashahidi cku ukienda kufanya service y gari na bei mpya za ENGINE OIL.
TIA PESA UPATE PESA.
All the best 👍 soldiers.
Kazi ni kipimo cha utu.