Nenda kwenye Duka la jumla ulizia bei kwa katoni. Kisha muulize kua kwani majuzi ilikua bei gani. Kama utakuta wanayo. Utackia imeisha boss.Hii habari inaukweli kwa asilimia ngapi tusije tukaweka ela alafu impact iwe sifuri
Sio kila mtu anatumia Oil ya Total.Habari
Kuna uhaba wa Engine oil za magari madogo na makubwa hapa tanganyika ni kutokana na mchina ambae ni outsource kuzuiwa na mwenyewe TOTAL OIL kuzalisha. Hii ni baada ya kushindwa kuzuia oil FAKE kua nyingi kutoka uko uko china. Ivyo kama uko na pesa ndio wakati wakununua kisha weka store kisha sikilizia kama mwezi na nusu ivi.
Utavimbilwa mijihela kwa kutoa mzigo wako na kuuza kwa bei uitakayo ww mwenye mali mjini. Ni mwendo w kutamba tu. Tarehe 5-8-2026. Nimenunua kwa jumla katoni Tsh 127000 ilikua saa 8 mchana saa 9 alasiri nimeanza kuuza Tsh 154000 kwa katoni moja. Vuta picha uko na katoni ngapi? Pesa pesa kwa wapambanaji. Je baada ya mwezi n nusu itakuaje? Kwa ss nimestisha kuuza. Nimefunga store.
Kwa wamiliki w magari mtakua mashahidi cku ukienda kufanya service y gari na bei mpya za ENGINE OIL.
TIA PESA UPATE PESA.
All the best 👍 soldiers.
Habari,

Kazi ni kipimo cha utu.
Hili tumezingatia kiongozi. Ndio maana tumeweka cku 30 mpk 45. Hata kiwanda kikipata ufumbuzi bado usafilishaji kwa meli mpk tanganyika ni cku 45 mpk 60. Mzigo kifika bado mambo ya bandari kutoa kisha uje sokoni. Mm kwangu GAME itakua over.Mkakati wako wa kuweka mzigo store ni mzuri kibiashara, ila tahadhari tu isije ikawa ni uhaba wa muda mfupi, kama kiwanda kikipata suluhisho mapema, bei inaweza kushuka ghafla na ukajikuta umeshikilia mtaji.
Na trusted ni ipi katika izo nyingi? Na bei nafuu ni ipi sokoni? Kama ni fundi utakua unaelewa na manisha nn.
Waliopo kwenye game wanaelewa vzr.
Kazi ni kipimo cha utu
Na vyote vinawezekana. Fanya utafiti kwanza. Mbona kazi nyepesi piga simu kwenye Duka unako fanya service uliza bei kiongozi.Kuna vitu viwili, wahuni wamekaa na stock muda mrefu wanawakimbiza wajinga wakakaushe mzigo wao au hadithi hii inaweza kuwa na ukweli.
Changanya na zako
Sawa , taarifa imefikaNa vyote vinawezekana. Fanya utafiti kwanza. Mbona kazi nyepesi piga simu kwenye Duka unako fanya service uliza bei kiongozi.
Kazi ni kipimo cha utu
Oil zote zimepanda boss na sababu siyo kama aliyosema mdau kwamba mchina amezuiwa kuingiza oil feki watu wanasingizia Hormuz Strait.Sio kila mtu anatumia Oil ya Total.
Cha muhimu ni kupanda BEI na Haipatikani KIRAHISI. Mwenye kuweza kuweka stock. Ajipigie pesa.Oil zote zimepanda boss na sababu siyo kama aliyosema mdau kwamba mchina amezuiwa kuingiza oil feki watu wanasingizia Hormuz Strait.