Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Mkuu wengine hatutaki pesa uwe na pesa alafu usiniridhishe kitandani haaaaaa mm apana kwa kweli
 
Fikilia kabla ya kukukuna na baada ya kukuna..utakuta b4 and after pesa imetumika sana..ndo maana pesa inapewa nafasi...
 
Omba mungu Miss Chagga asije pande za huku mkuu![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Reactions: SDG
Hawatakupenda wewe watapenda hella zako
Inamaana zikiisha hawatakuwa na wewe
Na unaweza ukamuonga akawa anahonga kwingine
Af pesa inawavuta washamba alie na shida zake

Mtu alielizika haendeshwi na vijisenti vyako
 
Mkuu wengine hatutaki pesa uwe na pesa alafu usiniridhishe kitandani haaaaaa mm apana kwa kweli

Nasema; Hata uwe na hogo la jang'ombe, uliache lining'inie nje wanawake walione. Bila pesa, humpati mwanamke. Ingelikuwa hivyo, wasinge jiuza pale makaburini. Wajua adha ya mbu na baridi ya mvua weye. Wadhani wanatafuta mihogo au pesa?? Kamba wavike hao waliomaliza ualim si mimi
 
Mkuu kumbuka na hizo ela unatoa pale unapeleka mwenyewe na wale pia wana wapenzi wao na wengine wanaenda kuwahonga mwanaume anaejua kutia vuzuri mapenz ni hisia na si pesa
 
Acheni ujinga. Fanyeni kazi. Tafuteni pesa. Kila kitu kina sehemu yake katika ndoa/ mahusiano. Kufikiri kwamba mwanamke anaweza tulia kwa mashine tu ni ujuha. Ni lazima kubalance. Vyote ni muhimu kwake
 
Hawatakupenda wewe watapenda hella zako
Inamaana zikiisha hawatakuwa na wewe
Na unaweza ukamuonga akawa anahonga kwingine
Af pesa inawavuta washamba alie na shida zake

Mtu alielizika haendeshwi na vijisenti vyako

Nasema; Hutakaa unidanganye. Mapenzi yalikuwa zamani, wamama walipo keketwa kuondoa uchu wa ziada. Leo hawa wala chips, hawatosheki kwa mihogo, bali senti zisipungue.
 
Mkuu kumbuka na hizo ela unatoa pale unapeleka mwenyewe na wale pia wana wapenzi wao na wengine wanaenda kuwahonga mwanaume anaejua kutia vuzuri mapenz ni hisia na si pesa

Badili title useme, Uhusiano imara na hogo na pesa. Usiseme fedha sio msingi. Hapo ndipo tunapingana mi na weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…