Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani


Aise na mgengendo pia una nafas yake huon, Zari the boss akatoka kwa jamaa yake Mungu amulehemu) japo zilikuwepo pesa za kumwaga kaja kwa kijana wa Tandale, huoni utofaut huo,,[emoji2][emoji2]
 
USIDANGANYIKE KWAMBA UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE KWA CHOCHOTE .....KAMA MUNGU ALIWAPA NYUSI WAO WANANYOA NA KUCHORA ZAO ... Nini kukuna bhana! !!![emoji29][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
 
Jang'ombe's Cassava [emoji41][emoji41]

Ama sio?
 
Maneno yako yananifanya niweze kukubaliana na wewe maana ex wangu niwaache vipi ila huwa hawakubal wako radhi kufanya chochote lakini nisiwanyime dyudyu
 
Aise na mgengendo pia una nafas yake huon, Zari the boss akatoka kwa jamaa yake Mungu amulehemu) japo zilikuwepo pesa za kumwaga kaja kwa kijana wa Tandale, huoni utofaut huo,,[emoji2][emoji2]
Haaaa umemaliza mkuu na usipime kwa chibu alivyojaliwa mzigo wa haja
 
Hapa ndo huwa nawahurumia Wanaume coz wanawake hawajawahi kuwa na Chaguo sahihi wanataka nini hasa, wengine wanaume ma HB, wengine pesa kwanza,wengine Mashine, mwingine Juzi humu nikamsikia Anawambia wanaume waache kutumia spray waache kikwapa ndo kinatia mzuka,yaani taabu tupu
 
For Promotional Only:-Msaga Sumu -Mwanamme Mashine.
 
Kitu kikubwa maujuzi tu na bomba liwe fiiti pesa upumbavu tu
 
Haaaa wanaume wanatabu na siku hizi hawajiamini mara konyagi, mara pweza, mara kongo dust ili tuu waturidhishe ipo siku wakiambiwa wale mavi ni dawa ya nguvu za kiume watakula
 
Neno..,,,shkamoo Pesa!
 
Sasa DUME SURUALI imetokea wapiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…