min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mungu wala hawezi thibitika kwa mamna yoyote ile hizo unazosena wewe ni imani tu tuziache zibaki kama imani tu.Mungu ni mmoja tu ndiye ninaemzungumzia. Muumba wa mbingu na nchi pamoja na mimi na kila kitu.
Hii ni kwa imani yangu, naheshimu ya kwako japo kwangu sio sawa.