HOJA Pesa ya likizo kisheria inatoka OC au mapato ya ndani?

HOJA Pesa ya likizo kisheria inatoka OC au mapato ya ndani?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Naomba kupewa ufafanuzi kidogo.

Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na badala yake kuambiwa wajilipe kutoka kwenye OC ya ofisi?

Naomba kufahamu kama huo ndio utaratibu unaotumika.
 
Kwa kawaida pesa ya likizo hulipwa na Mkurugenzi kutoka kwenye chanzo cha Idara husika, inaweza ikatoka OC au OS inategemea na Mkuu wako wa Idara ataamua kutumia kifungu gani kulingama na bajeti aliyobakiwa nayo

Idara waga inakuwa na vifungu vingi sana vya kulipa watumishi wake, inategemea na upangaji wa bajeti kwa mwaka wa Fedha, kila mwaka wakuu wa idara wanashiriki kwenye kuandaa bajeti za idara zao zikijumisha vitu kama
-Per diem
-Misiba
-Refreshments
-Mafunzo
-Likizo
-Maonesho
-Ujenzi/ukarabati
-Nk
 
Back
Top Bottom