Pesa za COVID pamoja na pesa ya Tozo zimekata. Hali iko hivi hadi sasa kwenye madarasa

Hela yetu inaishia kwenye anasa. Wakuu wamenunua magari na wameyabadilisha namba yamekuwa yao binafsi na mengine yamerundikana na kuozea kwenye maofiso ya taasisi za serikali.
 
Pesa zinaishia mifukoni mwa wapiga dili wachache, Kuna watu wanaishi kama wako peponi katikati ya umaskini uliokithiri
 
NO REFORMS NO ELECTION ili tupate watu sahihi wa kuiongoza hii Jamhuri.
 
Kwa kifupi nyumbu mmekwama, mtamakiza gallery yote ya picha zenu za miaka ya 2000s, 2010, 2015 Hadi za miaka ya 80 mtazitafuta. Mama mmeshamshindwa....poleni.
 
Ukimsikiliza samia unaweza kudhani anaongoza norway ambao ni huduma za kijamii ni km 💯 kumbe anaamua kutojihusisha tu
 
Nchi ya maajabu, elimu bure madarasa ya matembe, deni lao kubwa, mitano tena,vitenge bure na kudumu chama twawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…